• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZAIDI YA BILIONI 11 ZILIVYOWANUFAISHA WANUFAIKA WA TASAF DODOMA

Imetumwa : May 15th, 2025

Na. Sizah Kangalawe- DODOMARS

 Billion 11,123,585,402.18 zimetumika kuwalipa wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Rosemary Senyamule wakati akifungua kikao kazi cha tathmini  ya utekelezaji ya mpango huo.

‘’Serikali ya awamu ya 6 kwa kushirikiana na wadau wengine inaendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya TASAF ambapo katika kipindi cha Julai 2024 hadi April 2025, Mkoa umepokea Tsh. 11,123,585,402.18 kwaajili ya kulipa walengwa, usimizi na ufuatiliaji wa Mpango.

Kadhalika,Mhe. Senyamule amesema Serikali inaanda mpango mzuri wa kuzitambua kaya hizo ‘’Ni matarajio ya Serikali kuwa katika tathmin ijayo walengwa wengi watakuwa wamekidhi vigezo ili kutoa nafasi kwa walengwa wengine kunufaika na mpango huu katika  awamu nyingine zinazokuja’’, Mhe. Senyamule

Hatahivyo Mkuu wa Mkoa huyo amewaagiza wataalam wa Halmashauri kuendelea kutoa elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa miradi kwa walengwa wanaonufaika na fedha hizo ili zitumike kuanzisha miradi ya kiuchumi itakayowaongezea kipato.

Kwa upande wake Mratibu wa Tasaf Mkoa Bi. Josephine Paschal ametaja njia zinazotumika kuwalipa fedha wanufaika hao,ambapo  kuanzia Julai hadi Aprili 2025 kaya 45,771 zimenufaika. Kati ya hizo, kaya 26,275 sawa na 57% zimelipwa  fedha mkononi, na kaya 19,474 sawa na 43% zimelipwa kwa njia ya benki na simu ( E- pay) lakini Msisitizo wa TASAF  ni kuhakikisha kaya zote zinalipwa kwa E- Payment”, Amesema Bi. Josephine

Aidha Bi. Josephine amesema kupitia Mpango huo kaya 45,771 za Walengwa, wamepatiwa mafunzo ya Ujasiriamali yanayotolewa na wataalam katika kila dirisha la Uhaulishaji  huku lengo likiwa ni kusaidia kaya hizo kuibua miradi midogo itakayowawezesha kuongeza kipato chao.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • ZAIDI YA BILIONI 11 ZILIVYOWANUFAISHA WANUFAIKA WA TASAF DODOMA

    May 15, 2025
  • DODOMA NA MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WASISITIZWA KUHUBIRI AMANI

    May 14, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.