Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amewaambia wajasiriamali wadogo Wilayani Chamwino wahakikishe wanalipia na kupata Vitambulisho vya Wajasiriamali wadogo vilivyotolewa na Mhe Rais Magufuli kwa kuwa vitambulisho hivyo vitawawezesha kufanya biashara mahala popote pale kwa uhuru bila kusumbuliwa na mtu yoyote juu ya masuala ya kodi wala ushuru wa aina yoyote ile.

Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa
Anuani ya Posta: 914 Dododma
Simu: +255 26 232 4343/232
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz
Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.