• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HEKIMA ZA WAZEE KUSAIDIA KUDUMISHA AMANI YA NCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

Imetumwa : July 8th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Hekima za Wazee zinatajwa kusaidia kudumisha amani ya Nchi, hasa kwenye kipindi hiki ambacho Taifa linatarajia kuingia kwenye uchaguzi Mkuu mnamo  Oktoba 2025. Hayo yamesemwa na Nabii Mkuu GeoDavie wa Kanisa la Ngurumo ya Upako lililopo Jijini Arusha alipokua kwenye kikao cha Maridhiano kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Morena Jijini Dodoma Julai 08, 2025.

Kikao hicho kimehusisha wana Jumuiya ya Maridhiano ya Amani Tanzania ambayo ni Viongozi wa Madhehebu ya Dini za Kiislamu na Kikristo Nchini kikiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu kudumisha Amani.

“Hekima za wazee hazitakiwi kupotea bure, tunamuomba Mhe. Rais aturuhusu kipindi cha kampeni wagombea wakishapita, na sisi tupite kama jopo la Amani na Maridhiano ili Nchi iendelee kuwa na amani, upendo na mshikamano” amesema Nabii Geodavie.

Kwa upande wake  Mwenyekiti wa Masheikh na Maaskofu Dr. Sheikh Alhaji Mussa Salim amekumbusha juu ya madhumuni ya Jumuiya hiyo kuwa ni kusimamia amani na utulivu kwa Watanzania bila kujali imani, dini, mila, rangi wala itikadi za kisiasa. Lakini pia kuleta muafaka katika mambo yanayosababisha tofauti katika dini, siasa na madhehebu mbalimbali Nchini.

Vilevile, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amesema kuwa Amani, mshikamano na umoja wa Kitaifa ni Tunu adhimu kwa Taifa letu ambayo kila Mtanzania ana jukumu la kuchukua hatua madhubuti kuilinda.

“Unapoona kuna uhitaji wa nchi yetu kulinda amani, mshikamano na kulinda umoja wa Kitaifa, ni jukumu la kila Mtanzania kuchukua hatua madhubuti zitakazopelekea amani, umoja na mshikamano wa Kitaifa. Tunu hii tunatakiwa tuilinde kwa uchungu mkubwa”.  


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • VIJANA WAASWA KUFANYA BIDII KATIKA KUYAFIKIA MALENGO NA NDOTO ZAO

    July 08, 2025
  • HEKIMA ZA WAZEE KUSAIDIA KUDUMISHA AMANI YA NCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

    July 08, 2025
  • RC SENYAMULE AZINDUA NYUMBA YA MWALIMU YA 02 KWA 01 KONDOA

    July 01, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.