• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BARABARA ZA MZUNGUKO ZA AINA YAKE SULUHU YA MSONGAMANO WA MAGARI DODOMA

Imetumwa : February 15th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametoa rai kwa wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa miradi ya kimkakati katika jiji la Dodoma kuzingatia ubora na viwango katika kukamilisha miradi kwa wakati.

Mhe. Senyamule ameyasema hayo leo Februari 15, 2023 wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Msalato, barabara ya mzunguko LOT 1 inayotoka Nala-Veyula-Mtumba-Ihumwa yenye urefu wa kilometa 52.3 na LOT 2 yenye urefu wa Kilometa 60 inayotoka Dry pot Ihumwa, Ngo’ngo’na, Matumbulu, Bihawana – Nala.

“Mradi huu ni wa aina yake barani Afrika tunampongeza sana Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha za kukamilisha ujenzi wa kilometa 112.3 km za barabara za mzunguko ndani ya Mkoa wa Dodoma” Amefafanua Mhe. Senyamule.

“Sisi tunataka miradi yetu ikamilike ndani ya muda, sote tunafahamu miradi hii muhimu inatakiwa kukamilika 2024 au mapema 2025 kama mkataba unavyoonyesha. Dhamira ya serikali ni kusogeza huduma kwa wananchi na kuhikisha utekelezaji wa miradi hii unanufaisha wananchi ikiwa ni pamoja na kuzingatia utoaji wa huduma kwa jamii (CSR) kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na miongozo iliyopo. Hatutamani sana tunaanza vizuri tunafika mahali tunaanza kutoa sababu nyingi, changamoto zitatueni lakini zisipelekee kuongeza muda wa mradi kukamilika’’ Alisisitiza Mhe Senyamule.

Akiwa katika eneo la ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato unaojengwa na Mkandarasi kutoka China Mhe Senyamule amemtaka Mkandarasi huyo kuongeza kasi ya ujenzi wa jengo la abira ili liweze kukamilika kwa wakati na kwenda sambamba na ujenzi wa njia za kuruka na kutua ndege.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.