• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CHEMBA WAPOMGEZWA KWA ONGEZEKO LA MAPATO

Imetumwa : October 23rd, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema ili Halmashauri ya Wilaya ya Chemba iendelee katika ukusanyaji kwa mapato ni lazima kufuatilia kwa makini vyanzo vyote vilivyopo ndani ya Wilaya hiyo.

Ameyasema hayo leo tarehe 23 Oktoba 2023 wakati akiendelea na ziara yake ya kikazi ya kutathmini, kukagua na kufanya ufuatiliaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Kipindi cha Julai hadi Septemba 2023.

“Niwapongeze kwa kufanya vizuri kwenye kusimia miradi na ongezeko la mapato Katika Wilaya ya Chemba ni vizuri kwenda kwa kasi hiyo na kila mtu afanye kwa ngazi ya Idara ili kuleta mabadiiliko zaidi kwa kila sekta"

“ Kila baada ya Miezi mitatu kutakuwa na mambo ya ufuatiliaji wa mapato ili kuona Kwanini miradi mingine imekuwa changamoto kwa mapato ya Halmashauri” amesema Senyamule.

Pia amesisitiza suala la utunzaji wa mazingira katika kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa kila Afisa mazingira kuhamasisha wananchi kuhusu suala la utunzaji wa mazingira

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Bi. Prosister Tairo amesema katika mwaka wa Fedha 2023/2024 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba imepanga kukusanya na kutumia kiasi cha fedha cha Shilingi Bilioni 28.7 na katika kipindi cha robo ya kwanza Julai hadi Septemba Halmashauri ilipanga kukusanya Shilingi Bilioni 7.1 kutoka katika vyanzo vyote vya mapato.

“Hadi kufikia Septemba 2023 Halmashauri imekusanya Bilioni 7.4 sawa na asilimia 103 ambapo kwa kipindi cha Julai hadi Septemba Jumla ya Shilingi Bilioni 5.3 zimetumika ”amesema Bi. Tairo.



Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.