• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DODOMA KINARA MBIO ZA MWENGE 2023

Imetumwa : November 29th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amebainisha kupanda chati kutoka nafasi ya 22 kati ya 31 kwa mwaka 2022 na kushika nafasi ya 1 kati ya mikoa 31 kwa 2023 katika Ukaguzi wa miradi, uzinduzi wa Miradi na Shamrashamra za namna viongozi walivyoshiriki katika kukimbiza Mwenge wa Uhuru Mkoani Dodoma.

Senyamule amebainisha hayo katika Kikao kazi kilichofanyika leo Novemba 29/2023 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jengo la Mkapa kilichowajumuisha Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wataalam mbalimbali wa  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Kikao hicho kimefanyika huku kikiwa na ajenda mbalimbali ikiwemo maandalizi ya msimu wa kilimo, tathmini ya upandaji Miti na tathmini ya Mwenge wa Uhuru ikijumuisha utolewaji wa matokeo ya Mwenge wa Uhuru uliokimbizwa Mkoani humo mnamo mwezi Septemba mwaka huu.

"Tumetumia siku ya leo kufanya tathmini Kama ambavyo huwa tunafanya Miaka yote ya kuona namna ambavyo tumetekeleza ubora wa Miradi na vigezo vingine vilivyowekwa katika shughuli za Mwenge wa Uhuru.

"Tunamshukuru Mungu   Halmashauri 5 za Dodoma Jiji,Kondoa DC na TC, Mpwapwa na Kongwa zimeingia katika 10 bora ya Taifa, Mwaka Jana 2022 Mkoa ulishika nafasi ya 22 hatukupendezwa na matokeo hayo Kama Makao makuu ya Nchi, tulipeana Shime ya kuifaharisha Dodoma na tukaungana kupambania Mkoa na tunamshukuru Mungu kwa mara ya kwanza tumeshika nafasi ya Kwanza Kitaifa tumeifahalisha Dodoma na Makao makuu ya Nchi", amebainisha Senyamule.

Katika kuelekea msimu wa kilimo Afisa kilimo wa Mkoa wa Dodoma Bw. Abraham.... amesema Wapo tayari kwa uzinduzi wa msimu wa kilimo unaotarajiwa kuzinduliwa Novemba 29 mwaka huu Katika kata ya mazae Wilayani Mpwapwa.

Aidha ametaja jitihada zinazofanywa na Mkoa katika kuhakikisha wananchi na wakulima wa Mkoa huo wanapata mazao bora, ikiwa ni pamoja na kupima Afya za udongo, kuhakikisha upatikanaji wa mbegu bora na za kisasa pamoja na kuwahamasisha wakulima kutumia mbolea na kuachana na dhana za kuwa mbolea za kisasa zinaathiri udongo na rutuba ya mazao.

















Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.