• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIDATO CHA SITA WAASWA KUPAMBANA NA RUSHWA

Imetumwa : March 4th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ametoa rai kwa wahitimu wa kidato cha sita kuwa mfano kwa vitendo katika kupambana na Rushwa.

Ameyasema hayo leo tarehe 04/03/2023 wakati wa mahafali ya wahitimu wa kidato cha sita kikundi (Club) cha TAKUKURU Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Dodoma na kuongozwa na kaulimbiu “Kuzuia Rushwa ni Jukumu Lako na Langu, Tutimize Wajibu Watu”

Senyamule amesema kuhitimu ni kiashiria tosha kwa wanafunzi hao kuwa wamefundishwa na kuelewa Rushwa na Madhara yake vile vile kukidhi vigezo na kuwa mstari wa mbele katika kukataa kushiriki katika vitendo vyovyote vya rushwa na kuikemea.

"Mhitimu unapoendelea na masomo ya juu au akienda mtaani anapaswa kuwa Mfano kwa vitendo wa kupingana na Rushwa, ambavyo ni tabia njema , Uadilifu, Utii naushiriki wa dhati kulingana na ratiba ya klabu ilivyo kuwa katika kipindi chote cha uwanachama wenu hatutarajii kuwa watu wakupenda Mafanikio ya mkato bali kuwa Mfano bora kwa kuelewa mafanikio huja kwa kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia maadili na kufahamu haki zote za kiraia. Senyamule alisisitiza.

“Nyie ni watu muhimu sana katika Taifa Letu la Tanzania katika kuelimisha wengine juu ya Rushwa, penye rushwa hamna haki, hakuna Maendeleo na hakuna usawa. Madhara ya rushwa ni makubwa kuna ujenzi chini ya kiwango, Miradi hewa ya Maendeleo, huduma za jamii duni ,ubadhirifu wa Fedha za umma na Miundo mbinu mibovu" Amesema Senyamule

Kwa upande wake mkuu wa TAKUKURU Dodoma Bw. Sostenes Kibwengo amesema Wanafunzi 440 wa shule 6 ambazo ni Dodoma Sekondari, Msalo ,Bihawana, Maria de Mathis, Jamhuri na Meliwa wa kidato cha sita wamefanikiwa kuhitimu.

Amesema tunategemea kuwa wahitimu hawa watakuwa vinara wakuzuia rushwa na tutaendelea kufanya programu mbalimbali ili kuweza kuelimisha jamii juu ya kubaini rushwa na kuwa chachu ya Maendeleo .

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.