• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KUBORESHA LISHE NGAZI YA KAYA; KAMATI YA LISHE MKOA WA DODOMA YADHAMIRIA KUWA MFANO

Imetumwa : May 18th, 2025

Kamati ya Lishe Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa huu  Bw. Kaspar K. Mmuya  Mei 18,2025 imefanya ziara ya kutembelea makazi ya baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo,lengo likiwa ni kuona namna wanavyoyaishi yale ambayo wanawaelekeza na kuwahamashisha Wananchi kuyafanya ili kuboresha hali ya lishe katika kaya zao, mkazo ukiwa kwenye upandaji wa miti ya matunda na mbogamboga.

Wajumbe waliotembelewa ni  Bi. Aziza Mumba,ambaye ni Katibu Tawala Msaidizi Sekisheni ya Uchumi na Uzalishaji pamoja na Mhasibu Mkuu wa Mkoa, CPA.Lundgreen Mcharo.

Akizungumza mara baada ya ziara hiyo,Katibu Tawala amewapongeza Wajumbe hao kwa kukubali kutembelewa lakini pia kwa kile wanachokifanya,ambacho ni darasa kubwa kwa kamati hiyo.

" Kwanza niwapongeze kwa hiki mnachokifanya ambacho ni kikubwa.Lakini sasa nataka mkitazame kwa jicho la kibiashara,pamoja na lishe,kuna hela hapa,".

Katika hatua nyingine,Katibu Tawala Mmuya amewatia moyo Wanakamati wengine  ambao bado hawajaanza kufanya shughuli hizo za kilimo na ufugaji,kwamba wanaweza kuanza hata kwa udogo.

"Najua baada ya kuona haya,wengine mmechanganyikiwa kabisa.Hapo mlipo mnawaza mambo mengi sana,lakini hata kama uko kwenye nyumba ya kupanga,bado unaweza kupanda mboga mboga kwenye makopo,unaweza kupanda miti ya matunda.Labda utasema nyumba sio yako.Lakini jibu ni moja tu,hata hapa tuliposimama,ni chini ya miti,lakini hatukuipanda sisi, kwa hiyo wewe panda tu,hata kama nyumba unayoishi siyo ya kwako.

Ziara hiyo ni endelevu,hivyo itaendelea kulingana na ratiba itakavyopangwa.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.