• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

POLISI DODOMA WAPONGEZWA KWA KUWA MSTARI WA MBELE UHAMASISHAJI MATUKIO YA KITAIFA

Imetumwa : May 19th, 2025

Na Sofia Remmi:

Habari:Dodoma RS

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule tarehe 19 Mei 2025,amefunga bonanza la michezo katika uwanja wa Mtekelezo Jijini Dodoma lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kuhamasisha wananchi wajitokeze katika uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura.

Akizungumza wakati  wa  hotuba  yake, Mhe. Senyamule amelipongeza jeshi hilo kwa kuwa mstari wa mbele kuanzisha kampeni za uhamasishaji pindi yanapotangazwa mazoezi ya Kiserikali.

“Ni mara ya Nne kushiriki hamasa zinazotolewa katika mabonanza yanayoandaliwa na Jeshi la polisi. Kila yanapotokea matukio ya Kitaifa mmekuwa nafasi ya mbele kuanzisha michezo ya kampeni inayoendana na matukio hayo.

Ninawapongeza kwa kampeni hii ya uchaguzi salama unawezekana, kwa kuleta hamasa kwa vijana na jamii kwa ujumla ili kuwaunganisha Wanadodoma na Watanzania kwa ujumla  kufanya uchaguzi wa amani”amesema Senyamule.

Kwa upande wake Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma SACP George Katabazi amesema michezo inasaidia kupunguza uhalifu katika mkoa wa Dodoma na hii kampeni tumeianzisha ili kuzuia na kutokemeza uhalifu kwa vijana.

“Tumeanza michezo hii na polisi Jamanii,na imekusanya wachezaji kutoka kata 14 za Mkoa na michezo hii imeenda sambamba na kuelimisha kujitokeza katika kujiandikisha katika Daftari ka Kudumu la Mpiga kura na kushiriki kujitokeza kupiga kura” Amesema katabazi


#RPC CUP

#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MMUYA AHIMIZA UDHIBITI VIFO VYA MAMA NA MTOTO

    May 26, 2025
  • UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI KUANZA MEI 28 DODOMA

    May 26, 2025
  • WAWEKEZAJI WA VIWANDA KUTOKA DUBAI WABISHA HODI DODOMA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.