• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAMLAKA YA MAPATO YAPONGEZWA KWA UZINDUZI WA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI BIASHARA

Imetumwa : September 11th, 2025

Na. Elizabeth S. Dai

 Habari-DODOMA RS

Mamlaka ya Mapato (TRA) imepongezwa kwa uamuzi wa kuzindua  Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara linalotajwa kuwa chachu ya ulipaji kodi usiopingika kwa wananchi wa Mkoa wa Dodoma na Taifa kwa ujumla.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa  wa Dodoma, Mhe. Rosemary S. Senyamule katika hotuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Dawati hilo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) katika viwanja vya Nyerere Square jijini humu  Septemba 11, 2025.

“Lakini nipongeze pia sana leo kwa uamuzi huu wa kuzindua dawati maalumu la uendeshaji wa wafanyabiashara kwa Mkoa wa Dodoma ambalo litakua mahususi kwa ajili ya kuwafikia wafanyabiashara, kuwasikiliza na kuwawezesha katika mahitaji mbalimbali kwa haraka na ufanisi mkubwa”

Nae Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri amepongeza Mamlaka ya Mapato kwa kuanzisha dawati hilo kwani litaondoa kero za wafanyabiashara na kuzishughulikia kwa haraka katika maeneo ambayo yana urahisi wa kufikika.

Aidha, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Bw. Yusuph Juma Mwenda ameahidi kwamba TRA itaendelea kuwa rafiki wa wafanyabiashara wote kwa kutumia 4R za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zikimaanisha maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga upya kwa kutoa elimu na kuhimiza wajibu wao kwa weledi na uadilifu  mkubwa.

Hafla hiyo imeambatana na kaulimbiu isemayo “Tunawatambua, Tunawasikiliza na Kuwawezesha” inayolenga kuwasikiliza na kuwajali wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo.

#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YATEKELEZA MIRADI YENYE MANUFAA KWA WANANCHI WA WILAYA YA CHAMWINO

    September 15, 2025
  • RAS DKT. KAZUNGU AWATAKA WATUMISHI WA SERIKALI KUFANYA KAZI KWA WELEDI , JUHUDI NA MAARIFA

    September 15, 2025
  • MAMLAKA YA MAPATO YAPONGEZWA KWA UZINDUZI WA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI BIASHARA

    September 11, 2025
  • DKT. KAZUNGU ATEMBELEA ENEO LENYE MGOGORO WA ARDHI NKUHUNGU , NDACHI

    September 11, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.