• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS AMEWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WATU WENYE ULEMAVU

Imetumwa : November 24th, 2024

Na; Sofia Remmi.

       Habari - Dodoma RS

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amempongeza  Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira wezeshi katika Sekta ya Elimu,ambayo lengo lake ni kuhakikisha watu wenye Ulemavu wanapata elimu bila vikwazo.

Mhe. Nderiananga ameyasema hayo  leo Novemba 24, 2024 wakati wa hafla maalumu ya chakula cha pamoja na Watu wenye Ulemavu iliyoandaliwa na 'Tanzania Foundation For Excellence in Disabilities' (tfed).

Akizungumza wakati wa hotuba yake,Mhe. Nderiananga Amesema kuwa Mhe. Rais ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya kununua vifaa vya kujifunzia na kufundishia,sambamba  na kutoa mikopo  ili kuhakikisha kuwa Watu Wenye Ulemavu wanajikwamua kiuchumi.

"Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia iko pamoja na Watu Wenye Ulemavu, ndio maana imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali za kuboresha miundombinu ya shule Ili kuhakikisha wanapata haki ya elimu kama watu wengine "Mhe. Nderiananga.

Ameongeza kuwa  Serikali imeendelea kutoa mikopo ya asilimia 10 kupitia Halmashauri ambapo na Watu Wenye Ulemavu wamekuwa wakinufaika kwa kiasi  kikubwa.

Katika hatua nyingine Mhe Nderiananga,amekabidhi Laptop 45, vishikwambi 35,  fimbo nyeupe  200 magongo 100, Baiskeli 20 majiko ya gesi 400 na Vitimwendo 20 ambavyo vimetolewa na Taasisi inayoshughulika na masuala ya watu wenye Ulemavu (tfed).

Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amesema Rais Dk Samia ameendelea kuwajali na kuwaenzi watu wenye Ulemavu kwa namna mbalimbali.

"Mheshiwa Rais ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya kujenga shule za watu wenye Ulemavu ili kuhakikisha kundi hili linapata fursa ya kupata elimu bila vikwazo.

Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa watu wote ikiwemo wenye Ulemavu lengo ni kuhakikisha wanashiriki katika shughuli za uzalishaji na kujikwamua kiuchumi," Mhe. Senyamule.

Mhe. Senyamule ameongeza kuwa  mwaka huu wa fedha Halmashauri tano zimetenga sh.milioni 19 kwa  ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa watu Wenye Ulemavu. Niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha kundi hili linaendelea  kuishi sawa na Watu wengine,"alisema

 Naye Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma (SHIVYAWATA) Omary Lubuva  amewashukuru wadau kwa kuendelea kutoa ushirikiano na kuwaunganisha pamoja kupitia shughuli mbalimbali.


#kurayakosautiyako

#ujanjanikupigakura

#dodomatukotayarikupigakura

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.