• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DOM AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHAMWINO KUWASILISHA MKAKATI MPYA WA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA SHAMBA LA ZABIBU LA CHINANGALI II

Imetumwa : July 9th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halamashauri ya Wilaya Chamwino kuwasilisha kwake taarifa ya mkakati wa Halamashauri ya Wilaya hiyo ya Chamwino kutaka kulichukua shamba la zabibu la chinangali II lenye jumla ya Ekari 1250 kwa lengo la kulisimamia na kuliendesha shamba hilo kufuatia maendeleo ya shamba hilo kuzorota kwa kukosa huduma za muhimu na usimamizi kutoka kwa wananchi waliopewa maeneo ya kulima kwenye shamba hilo. Aidha, Dr Mahenge ametaka wananchi wote walioshindwa kuhudumia na kusimamia maeneo waliyopewa kwenye shamba hilo na kuyatelekeza, kuandikiwa barua kuwa watanyang'anywa maeneo hayo mara moja.

Akiwa ziarani Wilayani Chamwino, Dr Mahenge ametaka wananchi 120 ambao wao wanahudumia na kusimamia maeneo waliyopewa kwenye shamba hilo wajumuishwe kwenye mkakati huo mpya wa kuliendesha shamba hilo na ametaka Halmashauri ya Chamwino pamoja na kulichukua shamba hilo wahakikishe pia wanaweka mkakati wa kulipa deni la karibu Tsh 2.7 bilioni ambazo zilitolewa na Benki ya CRDB kama Mkopo wa kujenga miundombinu ya maji na umwagiliaji na uendeshaji wa shamba hilo.



Awali mkurugenzi wa Halamashauri ya Wilaya ya Chamwino Ndg. Athuman Masasi alibainisha kuwa halamshauri imeamua kulichukua shamba hilo na Deni lake lote na kulisimamia kama mradi wa kimkakati ambao kwa tathimini waliyofanya shamba hilo lina uwezo wa kuizalishia Halmashauri yake hadi Tsh 4 Bilioni kwa mwaka kupitia kilimo CHA Zabibu, amesema watawaengua wakulima wote ambao wameshindwa kusimamia maeneo waliyopewa kulima kwenye shamba hilo lenye visima na maji ya kutosha, mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji, mashine na miundombinu ya umwagiliaji wa matone.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • TAWLA - SAUTI YA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKOSA ULINZI WA KISHERIA KATIKA JAMII

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.