• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AZIPONGEZA ‘JOGGING CLUBS’

Imetumwa : December 14th, 2024

Na. Sizah Kangalawe 

Habari- Dodoma Rs

Vilabu vya mbio za mwendo wa pole (Jogging Clubs) Mkoa wa Dodoma vimepongezwa kwa kuendelea kuwa na mshikamano na kuwa vinara wa kuhamasisha watu kufanya mazoezi  kuboresha afya zao na kuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, pamoja na kuelimisha jamii kupitia kampeni mbalimbali.

Mhe.  Senyamule ametoa pongezi hizo baada ya kumalizika kwa mbio fupi zilizofanyika kwa kuratibiwa na ofisi yake  kwa kushirikiana na 'Friends of Mavunde' na 'Dodoma City legends familly'.

"Katika makundi tuliyonayo kwa Mkoa wetu hivi vilabu vya Jogging wamekuwa vinara wa kuimarisha mshikamano wao wenyewe na sisi wafuasi tunaoungana nao kufanya mazoezi, ni makundi ambayo hayana uvivu wa kufuatilia jambo lao wakiamua nawapongeza sana.

 Kupitia mchango wao wa kuhamasisha unatupa sisi fursa ya kufikisha jumbe mbalimbali kwa jamii, jambo kubwa nimefurahi leo, kwa sababu mazoezi haya ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wetu ya kila Jumamosi ya pili ya mwezi iwe ni siku ya mazoezi kwa ajili ya kutunza afya zetu na kupunguza magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Leo ni Jumamosi ya pili ya mwezi Disemba  kwahiyo sisi tumetimiza maelekezo ya Rais wetu, hongereni sana", Mhe Senyamule

Naye kaimu katibu tawala Mkoa Bw. Gwamaka Mlagila amesema "Michezo ni afya na kutoa damu ni upendo na hakuna michezo bila upendo, kwahiyo niwahamasishe mjitokeze kwa wingi kuchangia damu Ili ziwasaidie wagonjwa wanaohitaji damu'', Mlagila

Mbio hizo zimeanzia katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma hadi katika Bustani ya Mapumziko ya Chinangali (Chinangali park) Jijini Dodoma ikiwa ni umbali wa Kilomita 5.

Hatahivyo vikundi vya "Dodoma City  Legends family na kikundi cha Friends of Mavunde' wametumia siku hii kufanya uzinduzi rasmi wa vikundi vyao na watashiriki mambo mbalimbali ya kurudisha furaha kwa jamii kwa kuwatembelea watoto yatima na kuchangia damu zitakazookoa maisha ya wengine.

Vikundi hivyo vinafanya matendo hayo ya huruma kupitia kaulimbiu " Rejesha Tabasamu Kwao".


#dodomafahariyawatanzania

#rejeshatabasamukwao

#upendoamaninamshikamanodaima.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.