• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

Imetumwa : October 9th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:Dodoma RS

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amekutana na kuzungumza na kundi la viongozi wanawake wa Mkoa wa Dodoma juu ya mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Mkoa sambamba na ajenda mbalimbali ambazo zimewasilishwa katika kikao hicho ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Ofisi yake, Jengo la Mkapa Jijini Dodoma, Oktoba 09, 2025.

Akizungumza katika Kikao hicho Mhe. Senyamule amesema Serikali ina dhamira ya kila mwanamke kujikomboa kiuchumi kwani ukimkomboa mwanamke umekomboa Taifa.

“Ukimwezesha mwanamke umewezasha Taifa kwa ujumla kwani hata sasa tunaona vyama vingi wanawake wametoka kifua mbele katika kugombea nafasi mbalimbali ambapo huko nyuma hiki kitu kilikuwa na mwitikio mdogo sana katika Nchi yetu”

Taifa lina imani kubwa sana na Wanawake kwenye kila jambo, ni wajibu wetu kuwatia moyo wanawake wenzetu ambao wanajitoa katika Taifa letu”Amesema Mhe. Senyamule.

Aidha Mhe.Senyamule ameendelea kuwahamasisha wanawake kujitokeza kupiga kura kwani ni haki na wajibu wa kila mtu kumchangua kiongozi bora wa nchi.

Kikao hicho kilichokuwa na  ajenda 04 ambazo ni Elimu ya Mpiga kura,Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita,elimu ya vitambulisho vya Mjasiriamali,fursa za zabuni kutoka PPRA kwa kundi la Wanawake,pamoja na kusikiliza kero.


#DodomaFahariyaWatanzania

#NimejiandikishaNitapigaKura

#UmejiandikishaKapigeKura

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigaKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

    October 09, 2025
  • SACCOS NI FURSA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI YA WANAWAKE

    October 11, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

    October 09, 2025
  • KIWANDA CHA MVINYO KUFUFUA MATUMAINI YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA

    October 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.