• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

Imetumwa : October 9th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amekutana na kuzungumza na kundi la Wazee wa Mkoa wa Dodoma kuhusu mambo mbalimbali hususan maendeleo ya Mkoa sambamba na kusikiliza kero zinazowakabili kwenye ukumbi wa Ofisi yake Jijini Dodoma Oktoba 09, 2025.

Wazee hao ambao wametoka kwenye Halmashauri zote 8 za Mkoa wa huu, wamepata fursa ya kuwasilisha kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa ambazo zilipata majibu kutoka kwa Wataalam walioshiriki kikao hicho kilichoambatana na mada mbalimbali.

Miongoni mwa kero zilizowasilishwa kwa wingi na Wazee hao ni huduma za Bima ya Afya kwa Wazee ambapo wengi wamelalamikia huduma hiyo kuwa hairidhishi pindi wanapokwenda Hospitali au kwenye Vituo vya Afya kwani wamekua wakipata changamoto ya kupatiwa baadhi ya huduma kwa madai ya Bima zao kutokidhi.

Aidha, Afisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) amejibu kero hiyo kwa kutoa ufafanuzi juu ya matumizi ya Bima hizo na kusema kuwa kwa sasa Serikali imeboresha huduma hiyo na Wazee wanahudumiwa bila shida hivyo muhimu ni kufuata utaratibu na endapo itatokea changamoto wawasiliane nae.

Mbali na hilo, Wazee hao wamepata fursa ya kupata mada kama vile Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwenye Mkoa wa Dodoma katika kipindi cha miaka minne ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, elimu ya mpiga kura kwenye kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, magonjwa yasiyo ya kuambukiza pamoja na Bima ya Afya.


#DodomaFahariyaWatanzania

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigakura

#NimejiandikishaNitapigaKura

#UmejiandikishaKapigeKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

    October 09, 2025
  • SACCOS NI FURSA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI YA WANAWAKE

    October 11, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

    October 09, 2025
  • KIWANDA CHA MVINYO KUFUFUA MATUMAINI YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA

    October 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.