• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC.SENYAMULE AMTAKA MKANDARASI WA BWAWA LA MAJI MEMBE KUFANYA KAZI KWA UAMINIFU NA UADILIFU

Imetumwa : August 30th, 2022

Mhe. Senyamule ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Membe,kilichopo kata ya Membe Wilaya ya Chamwino, mara baada ya kuwatembelea wananchi hao kwa kusudi la kuzungu mza nao mara baada ya Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Gift Msuya kumkabidhi mkandarasi mradi wa ujenzi wa Bwawa la Maji la Membe. Mkuu wa Mkoa amewaeleza wananchi wa Mwembe kuwa Mhe. Samia Suluhu Hassanamedhamiria pesa nyingi za watanzania ziende kwa wananchi wa maisha ya kati.

Aidha Mhe. Rais anaelewa kuwa,kutengemea mvua ni kitendawili , hivyi anataka wananchi wake waishi  kwa kulima kisasa.

Mhe. Rais ametoa  ruzuku kwenye pembejeo za kilimo na ametoa ruzuku kwa mbolea kwa 50%.Hivyo Serikali inalipa 50% na mkulima anatoa 50%, lengo likiwa kuhakikisha wananchi wote wanapata pembejeo za ruzuku.

Serikali imedhamiria kufanya mapinduzi makubwa kwenye kilimo.Hivyomaafisa Ugani mnatakiwa mfanye kazi za kusasimamia wakulima baada ya kulima wapapalilie mashamba yao.

“Shime,  kwa kuwa jambo hili ni la baraka kwenu kwa hiyo itumieni vyema hiyo baraka kwani huu mradi ni wenu kwa hiyo tunataka nyie muwe sehemu ya mradi huo na. Muwe walinzi wa mradi huu kwani hii fedha ni ya kwenu. Mradi ukiharibika ninyi ndio  mtakao pata hasara”.Amesema Senyamule.

Aidha Mkuu wa Mkoa amemweleza mkandarasi Nikuroi kuwa, Wananchi wote hawa ni mashahidi. Serikali imekupa huu mradi Kwa sababu umeaminika sana .Hivyo ufanye kazi Kwa uaminifu Na uadilifu.Rudisheni imani Kwa Serikali na Kwa Mhe. Rais. Jipange vizuri, kazi ya Mfano ifanyie Membe na uifanye kwa ubora uliokusudiwa.

Fursa hii ni ya pekee sana tuitumie vizuri.Aidha Mkuu wa Mkoa alitoa simu ambayo wananchi wanaweza kuwasilisha kero zao.

Na kusisitiza Viongozi wote kutenga  siku maalum kwa ajili ya  kusikiliza kero za wananchi katika maeneo yao. MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.