• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE ATOA AGENDA YA MAZINGIRA KWA WATENDAJI

Imetumwa : July 5th, 2023
  • Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amewataka Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Makatibu Tawala Wasaidizi wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kushirikiana na kutoa taarifa sahihi za utekelezaji wa maamuzi mbalimbali yanayokubaliwa katika vikao mbalimbali vya Utekelezaji ili kufanikisha utekeleza kikamilifu wa Miradi ya Boost ili kurahisisha utendaji kazi na kukamilisha Miradi hiyo kwa wakati.

    Senyamule ameyasema hayo Leo Julai 05/2023 katika kikao kazi cha kujadili Utekelezaji wa Bajeti ya 2022/2023 na Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa kufuatia kutokamilika kwa miradi kwa wakati kama ilivyoelekezwa.

    Aidha Senyamule amewataka Viongozi hao wa ngazi ya Wilaya kuendelea kutunza Mazingira kwa kuanza maandalizi ya kupanda miti na kutenga maeneo ya kuoteshea vitalu vya Miche ya miti kwaajili ya kupanda wakati wa Msimu wa Mvua unapokaribia ili kuwe na miche ya kutosha kwa kila Halmashauri kupanda miti milioni moja na laki tano kwa Mwaka kwa mujibu wa maelekezo ya Serikali.

    "Katika kuendelea kukijanisha Mkoa wetu na kutunza Mazingira yetu tuanze mapema maandalizi ya kuandaa vitalu vya miche na kila wilaya iwe na Miche ya kutosha isiyopungua milioni moja na laki tano kama agizo lilivyotolewa na Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hapa nisisitize kuwa katika kila wilaya nitakayofanya ziara kuanzia mwezi huu nitakagua vitalu hivyo vilevile hakikisheni mnatenga maeneo kwa ajili ya kunufaika na biashara ya hewa Ukaa na kila Wilaya angalau iwe na maeneo matatu kama tulivyokubaliana hapo awali". Amesisitiza Senyamule

    Kwa upande wake Afisa Elimu wa Mkoa wa Dodoma Bw. Gift Kyando ametoa rai wilaya zilizokamilisha ujenzi wa Shule na madarasa kupitia fedha za mradi Boost kuanza usajili wa Shule hizo mapema ili zianze kupokea wanafunzi ifikapo Mwezi Januari 2024.

    "Kwa Halmashauri ambazo zimekamilisha ujenzi wa Miradi hii zinatakiwa kuanza usajili ili mwakani tuanze kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza na kuwahamishia wanafunzi wa kidato cha pili na tatu kwa wale wanaotoka maeneo ya mbali na Shule "amefafanua Kyando

    42mSee translation


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.