• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA MANUNUZI YA UMMA KIDIGITAL

Imetumwa : June 27th, 2024

Hayo yamebainishwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Godfrey E. Mnzava wakati akikagua Mradi wa maji iliopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa leo Juni 27, 2024.

Akizungumza na baadhi ya wananchi na viongozi mbali mbali waliojitokeza katika Mbio hizo, Ndg. Mnzava amesema anawapongeza Wakala wa maji na usafiri wa Mazingira vijijini RUWASA kwa kuendelea kufuata utaratibu mzuri wa manunuzi yote katika mradi wa Maji.

"RUWASA imefuata sheria za manunuzi hivyo niwapongeze kwa umakini huo na uzalendo kwa Wananchi kwani fedha nyingine zinaletwa ili miradi ikamilike kwa ubora uliotarajiwa"

"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan analeta fedha nyingi ili kupunguza ugumu wa kupata Maji kwa Wananchi kwa kutembea umbali mrefu kuyatafuta" Amesema Mnzava.

Hata hivyo, Mwenge huo ulitembelea miradi ya Maji inayogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4, pamoja na miradi mingine kama vile ujenzi wa Maabara katika kituo cha afya Rudi unaogharimu kiasi cha shilingi Milioni 70, Mradi wa Shule ya Sekondari Kimaghai A, Mradi wa ujenzi wa Daraja la NMB unaogharimu kiasi cha shilingi Milioni 599,Shule ya Msingi Chazungwa na Mradi wa Kikundi cha vijana cha ushonaji Nguo.


Aidha Mwenge ulikimbia kilometa 187.6 katika Halmashauri hiyo kwa kaulimbiu ya "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.