• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YADHAMIRIA KILIMO CHA KUJIKIMU KUWA KILIMO CHA BIASHARA

Imetumwa : August 4th, 2023

Serikali imepanga kubadilisha dhana ya kilimo cha kujikimu na kuwa kilimo cha kibiashara na mabadiliko haya yanafanyika kwa kuzingatia malengo ya kitaifa kama yalivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025

Kauli hiyo imetolewa  Agosti 4, 2023 na Waziri wa Utamaduni ,Sanaa na Mchezo Mhe. Dkt Pindi Chana wakati akifungua Kongamano la Mtama kwa wakulima na wadau mbalimbali wa zao hilo kwenye maonyesho ya Nanenane katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma. 

Mhe. Chana amewataka wakulima wa zao la Mtama wa Mikoa ya Kanda ya kati kuweka mikakati mathubuti ya zao hilo ili kuleta  mageuzi kwa ajili ya  biashara na kuachana na dhana ya chakula cha njaa kutokana na hali ya hewa ya Mikoa hiyo. 

Ameendelea kwa kutoa wito kwa  wakulima kuzalisha chakula chakutosha na kuachana na  kilimo cha mazoea  ili kuachana na dhana ya kuagiza chakula nje ya nchi  kama ilivyo dhamira ya serikali inaendelea kufanya mageuzi kwa wananchi wake. 

"Mikoa ya Kanda ya Kati kama ilivyo kwa nchi na dunia nzima inakabiliwa na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo hayajatoa mwelekeo wowote wa kama hali ya hewa itabadilika katika misimu mingine itakayofuata” ameeleza Mhe. Chana

 

 

Katika hatua nyingine Mhe. Chana amewataka washiriki wa Kongamano la Mtama kuwa mabalozi kwa wakulima wengine kwa kuwapatia elimu na mafunzo watakayo yapata ili kuwasadia kulima kilimo cha kisasa, bora na chenye manufaa katika maisha ya sasa na baadae.


Ameendelea kutoa rai kwa watanzania kujitokeza kwa wingi kupata elimu ya teknolojia mbalimbali za kilimo zinazoendelea kutolewa na wataalamu katika kipindi hiki cha maonyesho ya nane nane. 

Kwa Upande Wake, Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Selukamba amewasihi wakulima kujifunza mbinu bora ambazo zitawasaidia kulima zao hilo kwa wingi pamoja  na kuondoka na maazimio ambayo yatakuwa na tija katika kufanyikisha kilimo bora.

 



Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AZINDUA NYUMBA YA MWALIMU YA 02 KWA 01 KONDOA

    July 01, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.