• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YAENDELEZA USHIRIKIANO NA JESHI LA ZIMAMOTO DODOMA

Imetumwa : October 8th, 2024

Na; Happiness E. Chindiye

     Habari - Dodoma RS

Serikali ipo pamoja na jeshi la zimamoto na uokoaji katika kuhakikisha mikakati ya uokoaji wa maisha na Mali za wananchi zinakuwa salama dhidi ya majanga mbalimbali likiwemo janga la moto kwa kutekelezwa kwa ufanisi.

Hayo yamesemwa Leo Oktoba 08, 2014 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Usalama wa Moto kwa Umma, iliyozinduliwa  kwenye ukumbi wa Mkutano Jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

“ Serikali imeweka mikakati mingi katika kuhakikisha maisha na Mali za wananchi zinakuwa salama naomba niwahakikishie Serikali ipo pamoja na Jeshi la zimamoto na ukoaji kuhakikisha jukumu hilo linafanyika kwa vitendo na umahiri mkubwa" Amesema Mhe. Senyamule

Aidha, ametoa rai kwa Jamii kukata bima za  nyumba na kuzingatia sheria za mazingira pamoja na  sheria za moto kwa kutochoma moto hovyo.

Akisoma risala kwa mgeni rasmi, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Mrakibu - Rehema Menda amesema Kampeni hiyo ya Usalama wa Moto kwa Umma ni mahsusi kwa ajili ya kuimarisha usalama wa Moto ndani ya Mkoa wa Dodoma.

Jeshi la zimamoto na uokoaji limetumia hadhara hiyo kuhamasisha  wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya moto kwa kuweka mitungi ya kuzimia moto kwenye Mazingira ya nyumbani na ofisini pamoja na kupiga namba “114” ya dharura pale inapotokea changamoto ya moto.

&&&

#Dodomafahariyawatanzania

#dodomatukotayarikujiandikisha

#keroyakowajibu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.