• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TAASISI ZA UMMA ZASISITIZWA KUUNGANISHA MFUMO YAO GovESB KWA UBOBA WA HUDUMA

Imetumwa : June 23rd, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Tasisi za Umma zinazotoa huduma kwa Wananchi zimesisitizwa kuhakikisha Mifumo wanayoiunda inaunganishwa na ule wa Serikali (GovESB) ili iweze kusomana na kuwa kwenye gurudumu moja la kuboresha huduma ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hayo yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alipokua akihitimisha maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambapo kilele chake kimefanyika Juni 23, 2025 kwenye viwanja vya Bustani ya mapumziko ya  Chinangali Jijini Dodoma.

“Taasisi zote za Umma zenye Mifumo na ambazo zinaendelea kubuni Mifumo, zihakikishe Mifumo hiyo inasomana na iweze kubadilishana taarifa kupitia Mfumo wa Serikali wa GovESB ili twende kwenye gurudumu moja la kuboresha huduma ndani ya Serikali yetu.”

Aidha, Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameelezea faida za Mfumo wa Wekeza Faida ambao ni mkombozi kwa Watumishi kwani unawawezesha kushiriki Uchumi wa kisasa kwa kuwekeza hisa ambapo wanaruhusiwa kuweka kiasi chochote kwa kadri watakavyopata.

Akitoa salaam za Mkoa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amemshukuru Mhe. Rais kwa kuboresha utoji huduma kwa wananchi.

“Tunaposherehekea wiki hii, Mkoa wa Dodoma tunatoa shukrani kwa Mhe. Rais na Serikali yote kwa ujumla kwa jinsi ambavyo wamerahisisha kazi za Watumishi kwa kufanya mambo ambayo yamepelekea kuimarika kwa huduma kwa jami, Wafanyakazi wamekua na furaha, wameongeza huduma lakini tumeshuhudia kupungua kwa kero za Wananchi”.

Siku ya Utumishi wa Umma Duniani ni siku maalum ya Watumishi wa Umma ambayo husherehekewa kila ifikapo Juni 23 na Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kwa lengo la kutambua mchango wa Watumishi hao katika nchi zao ambapo Maadhimisho yake huambatana na maonesho mbalimbali ya huduma ambayo huanza Juni 16 hadi Juni 23.

Kaulimbimbiu: “Himiza Matumizi ya Mifumo ya Kidijiti ili Kuongeza Upatikanaji wa Taarifa na Kuchangia Uwajibikaji”


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.