• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIONGOZI NA WATAALAMU WA ELIMU MKOA WA DODOMA WAPIGA KAMBI YA SIKU TATU (3), KUPANGA MIKAKATI YA KUINUA UBORA WA ELIMU DODOMA

Imetumwa : December 11th, 2024

Na. Sizah Kangalawe 

Habari- Dodoma Rs

Viongozi na wataalam wa Elimu Mkoa wa Dodoma, wamepiga kambi ya siku 3 Wilayani Kondoa wakiwa na dhamira ya kufanya tathmin ya Elimu kwa Mwaka 2024 pamoja na kujadili na kuandaa mbinu, mikakati mbalimbali itakayopandisha ubora wa Elimu Mwaka 2025.

Kambi hiyo inafanyika kuanzia Disemba 10 - 12/2024 katika Chuo cha Ualimu Bustani  ikiongozwa na Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwl. Vicent Kayombo.

Aidha,katika kambi hiyo zimefundishwa mada mbalimbali, mijadala ya pamoja ya Elimu, kuandaa Mipango mikakati ya kuongeza Motisha kwa Walimu na wanafunzi ili kupandisha ufaulu wa Mkoa pamoja na kufanya tathmin ya kung'amua changamoto zilizojitokeza 2024 na kutafuta njia nzuri za kukabiliana nazo katika mwaka ujao.

Washiriki wa Kambi hiyo ni Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa Wilaya zote, CWT Dodoma, Wathibiti Ubora, Baraza la Walimu Mkoa, Maafisa Elimu ngazi ya Mkoa pamoja Wadau wengine wa Elimu.

 Hata hivyo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya kufunga Kambi hiyo Disemba 12/2024 akiambatana na Viongozi wa Kiutendaji wa ngazi ya Halmashauri zote za Mkoa wa Dodoma.

Kaulimbiu  " Uwajibikaji Wangu ni Msingi wa Kuinua Ubora wa Elimu na Ufaulu Dodoma".


#dodomafahariyawatanzania

#dodomayakimataifa

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • TAWLA - SAUTI YA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKOSA ULINZI WA KISHERIA KATIKA JAMII

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.