• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUACHA LUGHA ZA MAUDHI NA MATUSI - DODOMA

Imetumwa : December 19th, 2023

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi  (CCM ) Mkoa wa Dodoma chini ya Mwenyekiti  Ndg. Alhaj Adam Kimbisa Leo tarehe 19 Disemba 2023 imekutana kwa kikao cha kawaida cha kujadili hali ya kisiasa ,uchumi na mambo mbalimbali yanayohusu ustawi ndani ya Mkoa huo kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2023.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kikao hicho   Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Dodoma Ndg.Jawadu Mohamed  amesema Halmashauri hiyo imeelekeza kuwa  Watumishi wote wa serikali ndani ya Mkoa huo kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, kusikiliza kero pamoja na kutotoa lugha za maudhi na matusi kwa wananchi.

" Halmashauri kuu imeelekeza kwa Watumishi wote wa serikali ndani ya Mkoa wa Dodoma kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, kusikiliza kero lakini kutotoa lugha za maudhi na matusi kwa wananchi " Amesema Ndg.Mohamed

Ndg.Mohamed amesema Halmashauri hiyo imeazimia kwa kauli moja ya kumpongeza Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya maendeleo ambayo amekuwa akifanya ndani ya Mkoa  ya kuendelea kustawisha Makao Makuu ya nchi.

Pia,imetoa Pongezi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa (Mb) kwa kupokea maelekezo kutoka  kwa Mhe.Raisi Dkt.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa ya kushughulikia migogoro ya  ardhi ndani ya Mkoa wa Dodoma kupitia kliniki maalumu ya kutatua changamoto hizo.

Kadhalika,Halmashauri Kuu imetoa pongezi  kwa  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule kwa kuendelea kusimamia na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa kuzunguka kwenye miradi na kufanya ukaguzi .

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.