Wilaya ya Mpwapwa ni miongomi mwa Wilaya tatu za mwanzo zilizounda mkoa wa Dodoma (Mpwapwa, Kondoa na Dodoma). Mwaka 1995, Wilaya ya Mpwapwa iligawanywa na kuzaa wilaya ya Kongwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa ni Mh. JABIR SHEKIMWERI
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ni Mh. DONATI S NGHWENZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa ni Nd. MOHAMED MAJE
Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa: http://mpwapwadc.go.tz/
Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa
Anuani ya Posta: 914 DODOMA
Simu: +255 26 232 4343/232
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz
Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.