• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DKT. KAZUNGU ATOA WITO KWA WADAU WA TAKWIMU KUZINGATIA USAHIHI

Imetumwa : October 7th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:Dodoma Rs

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt.Khatibu M.Kazungu ametoa wito kwa wadau wa Takwimu za Uchumi ngazi ya Halmashauri za Mkoa wa Dodoma kushiriki kwa dhati katika kuhakikisha taarifa na takwimu zinazoandaliwa ni sahihi na zinawasilishwa Benki  kuu ya Tanzania ili zitumike katika mambo mbalimbali ya kukuza uchumi wa nchi.

Wito huo umetolewa 07 Oktoba 2025, wakati akifungua kikao kazi Kati ya Benki kuu ya Tanzania na wadau wa Takwimu kutoka Mkoa wa Dodoma kuhusu upatikanaji wa ubora wa Takwimu.

Akizungumza katika kikao hicho Dkt.Kazungu Amesema takwimu zinazopelekwa benki kuu na kwa wadau ni zile zinazotumika katika kuandaa taarifa mbalimbali hivyo lazima ziwe sawa na hazikinzani.

“Hii itawezesha chambuzi zinazofanywa na Benki kuu kutoa matokeo sahihi na yanayokidhi matarajio ya wadau katika ngazi zote.

“Tathmini za mwenendo wa shughuli za kiuchumi katika kuandaa taarifa hutumika ndani na nje ya Benki kuu Ikiwemo katika Semina na mikutano ya wadau”Alisema Kazungu.

Aidha Meneja Msaidizi Uchumi na Takwimu Ndg. Shamy Chamicha amesema lengo la kikao hicho ni kuhamasisha wadau kuweka na kutekeleza mikakati ya kuhakikisha na kusimamia kuwepo kwa ubora wa takwimu.

Vilevile mada zilizowasilishwa na kujadiliwa Katika kikao hicho ni pamoja na majukumu ya Msingi ya Benki Kuu na namna yanavyohusiana na taarifa pamoja na takwimu zinazokusanywa, taarifa ya robo mwaka wa tathmini ya hali ya shughuli za kiuchumi katika kanda, takwimu zinazozalishwa kisekta, Kilimo, Mifugo, Mazao, uvuvi, Ushirika, misitu na mapato ya ndani ya Halmashauri.

Pia kikao kazi hicho kilihusisha wadau kutoka ngazi ya Mkoa na Halmashauri ambazo hushiriki katika kuandaa na kuipa Benki Kuu takwimu za kiuchumi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • “TUSIMAME IMARA JUU YA KULINDA AMANI YA NCHI YETU - RC SENYAMULE

    October 07, 2025
  • DKT. KAZUNGU ATOA WITO KWA WADAU WA TAKWIMU KUZINGATIA USAHIHI

    October 07, 2025
  • JIJI LA DODOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA KUTOKA JAMHURI YA CZECH

    October 07, 2025
  • “VICOBA TUMIENI FURSA KWA KUFANYA BIASHARA NA SERIKALI “- RC SENYAMULE

    October 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.