• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JIJI LA DODOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA KUTOKA JAMHURI YA CZECH

Imetumwa : October 7th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DDOMA RS

Mkoa wa Dodoma unatarajia kunufaika na teknolojia kutoka Jamhuri ya Czech kutokana na ushirikiano baina na Mji wa Monrovian Kusini na Serikali ya Mkoa, kwenye sekta za kilimo cha zabibu sanjari na utengenezaji wa mvinyo, elimu, utalii na kubadilishana uwezo watumishi wa Mkoa wa Dodoma na wale wa Jamhuri hiyo.

Akizungumza na ujumbe kutoka Czech ulioongozwa na Mhandisi Roman Grolig ofisini kwake Jijini Dodoma leo Oktoba 07, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema awali alifanya mazungumzo ya ushirikiano baina yao alipotembelea Jamhuri hiyo, hivyo amefarijika kuona wamemtembelea.

“Tulipokua Mji wa Monrovian tulizungumzia mambo ya ushirikiano ambayo ni vipaumbele vyetu ambavyo ni katika Kilimo cha Zabibu na kutengeneza Wine, Elimu hasa kwa upande wa tafiti na ufundi, utalii pamoja na kubadilishana uzoefu kwa watumishi wetu na wa Monrovian Kusini” Mhe. Senyamule.

Kadhalika, Mhandisi Roman Grolig amesema tayari wameandaa ziara kwa Watumishi wa Dodoma kutembelea Mji wa Monrovian Kusini na watashirikiana na Taasisi za kifedha za Jamhuri ya Czech kusafirisha teknolijia yao ambayo itatumika hapa Tanzania hususan Dodoma.

Sambamba na hilo, ameongeza kuwa nchi yake inakwenda kutia saini Makubaliano ya kwanza kati ya Czech na Wizara ya Uchukuzi ya Tanzania juu ya uwekaji wa mifumo ya umeme jua kwenye njia zinazopita treni ya kisasa ya mwendokasi (SGR) kwa lengo la kuboresha usafiri huo.

Aidha, ameongeza kuwa timu kutoka Czech itaanza kuingia Dodoma kuanzia Novemba 2025 kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji kulingana na vipaumbele na makubaliano ya kushirikiana walioyaweka.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • “TUSIMAME IMARA JUU YA KULINDA AMANI YA NCHI YETU - RC SENYAMULE

    October 07, 2025
  • DKT. KAZUNGU ATOA WITO KWA WADAU WA TAKWIMU KUZINGATIA USAHIHI

    October 07, 2025
  • JIJI LA DODOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA KUTOKA JAMHURI YA CZECH

    October 07, 2025
  • “VICOBA TUMIENI FURSA KWA KUFANYA BIASHARA NA SERIKALI “- RC SENYAMULE

    October 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.