• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DODOMA KUZINDUA MPANGO MKAKATI WA UTALII

Imetumwa : July 18th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:Dodoma Rs

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema Mkoa  unatarajia kuzindua mpango mkakati wa kukuza utalii kwa lengo la kuinua uchumi wa wananchi wake.

 Akizungumza kuhusu mpango huo, Mhe. Senyamule amesema uzinduzi unatarajiwa kufanyika Agosti 4, mwaka huu, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo.

 Mhe Senyamule amebainisha kuwa aina ya utalii unaolengwa katika mkakati huo ni ule wa utamaduni wa makabila makubwa yaliyopo katika Mkoa wa Dodoma ambayo ni Wagogo, Wasandawe, Warangi, na Waburunge.

 Alisema makabila hayo yana utajiri mkubwa wa mila na desturi ikiwemo ngoma, mapishi ya vyakula vya asili, na nyimbo za asili za kila kabila ambavyo vitakuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

 Aidha,Mhe. Senyamule ametaja vivutio vingine vya utalii kuwa ni pamoja na hifadhi za misitu ya Swagaswaga na Mkungunero, ambazo zinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.

 Ameongeza kuwa aina nyingine ya utalii inayopatikana katika Mkoa wa Dodoma ni utalii wa kilimo hususan kilimo cha zao la zabibu, ambalo linalimwa kwa wingi, na kuwa kivutio kinachopatikana katika Mkoa huu pekee .

Mkuu wa Mkoa amewataka wadau wa utalii wa ndani na nje ya nchi kushirikiana na Mkoa wa Dodoma katika kuutangaza utalii uliopo ndani ya Mkoa na Mikoa jirani.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • VIJANA RIKA BALEHE 13,218 MKOA WA DODOMA WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AHADI

    July 23, 2025
  • MAAMBUKI YA UGONJWA WA HOMA YA INI ‘B’ YAFIKA 3.5% KITAIFA

    July 24, 2025
  • DODOMA NBC MARATHON YALENGA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO

    July 24, 2025
  • NGO’s DODOMA ZATAKIWA KUWAJIBIKA KWA SHERIA NA TARATIBU

    July 23, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.