• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BAHI WAPEWA HEKO UJENZI MIRADI YA ELIMU

Imetumwa : October 8th, 2025

Na. Sizah Kangalawe

Habari -Dodoma RS.

Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, wamepongezwa kwa kutekeleza miradi ya sekta ya elimu kwa wakati na kuzingatia ubora uliokusudiwa pasi na kuathiri gharama zilizotolewa.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Oktoba 8, 2025 wakati alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya elimu Wilayani humo.

"Niwapongeze Bahi kwasababu najua fedha hizi zimekuja mwezi wa 6 mwishoni, kwahiyo wengi hawakuweza kuzitumia kwa muda ule kwasababu ya mambo ya mifumo, mmeanza kutumia fedha hizi mwezi wa 8 lakini leo tunavyoona hapa ni kazi

 ya mwezi mmoja tu.

"Mimi niwapongeze mafundi na nikupongeze Mwalimu kwa kazi nzuri ya usimamizi. tukienda sehemu nyingine sasa hivi bado wapo kwenye hatua za manunuzi au wanaanza msingi, lakini nyie mmekuwa 'serious' mmefika hapa, nitoe shime sasa mkamilishe kwa wakati uliopangwa kama mlivyoeleza,msilegelege mpaka shule hizi zikamilike", alipongeza Mhe. Senyamule

Akisoma taarifa ya ujenzi wa shule mpya ya msingi, Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpamatwa Bw. Sulusi Eliezer ametaja manufaa ya mradi huo "mradi huu umechochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ambapo ujenzi wa shule hii umeleta ajira mbalimbali za muda kwa wananchi waliopo katika eneo hili", alisema Eliezer

Kwa mujibu wa Mkuu huyo ujenzi wa shule hiyo utagharimu jumla ya Tsh. 302,000,000/= hadi kukamilika kwake.

Awali Mhe. Senyamule alitoa heko kwa benki ya NMB  kuendelea na Ujenzi wa Shule ya Sekondari jumuishi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 3 ambapo hadi sasa umefikia 86% na unatekelezwa na mkandarasi SUMA JKT.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Nyingo, ameishukuru benki ya NMB kwa kuichagua Wilaya yake na kujenga shule hiyo, kwani inajengwa Bahi pekee chini ya ufadhili wao.


#DodomaFahariyaWatanzania

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigaKura

#NimejiandikishaNitapigaKura

#UmejiandikishaKapigeKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA VIKUNDI MAALUM CHACHU YA KUBORESHA SHUGHULI ZA VIWANDA

    October 08, 2025
  • BAHI WAPEWA HEKO UJENZI MIRADI YA ELIMU

    October 08, 2025
  • “TUSIMAME IMARA JUU YA KULINDA AMANI YA NCHI YETU - RC SENYAMULE

    October 07, 2025
  • DKT. KAZUNGU ATOA WITO KWA WADAU WA TAKWIMU KUZINGATIA USAHIHI

    October 07, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.