• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CMSR WAMALIZA MRADI WA UBORESHHAJI HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO JIJINI DODOMA

Imetumwa : May 19th, 2025

Na. Hellen M. Minja                    

       Habari – DODOMA RS

Wadau wa Afya kutoka Shirika la ‘Community Mobilization of Reciprocal Development’ (CMSR) kutoka Italia linalofadhili mradi wa uboreshaji huduma za afya ya Uzazi na Mtoto katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, leo Mei 19, 2025 wamemtembelea Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya Ofisini kwake Jijini Dodoma kwa lengo la kumuaga kwani wamefikia tamati ya mradi huo Mkoani hapa.

Mradi huo uliokua ukitekelezwa kwa kipindi cha miaka miwili, unafikia ukomo wake mwisho wa mwezi Juni ambapo katika kipindi hicho matokeo makubwa yameonekana katika vituo vilivyokua chini ya ufadhili kwani lengo kubwa ni kuboresha huduma za Mama na Mtoto na kukomesha vifo vitokanavyo na uzazi na watoto.

Aidha, Bw. Mmuya, amewashukuru wadau hao kwa Mradi ambao unanufaisha Mama na Mtoto kwenye jamii huku akiwaomba kutanua wigo hapa Makao Makuu ya Nchi.

“Mradi huu unaboresha familia na unahitajika zaidi maeneo ya Miji kama Bahi, Chamwino, Chemba na mengineyo. Kama mnaweza kuongeza wigo kidogo tutakua na furaha sana kwa sababu nahitaji uwepo wenu, msiende mbali na Makao Makuu wala Tanzania, tunahitaji huduma bora za afya kila eneo ili kufikia lengo”.

Shirika hilo limetekeleza mradi huo kwenye vituo vya afya vinne ambavyo ni Hospitali ya St. Gemma, Kituo cha Afya Mkonze, Kituo cha Afya Hombolo na kituo cha afya Makole. Wadau hao wamewajengea uwezo watoa huduma wa Mama na Mtoto lakini pia wamewezesha ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa kwa ajili ya huduma hizo.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.