• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DKT. KAZUNGU ATEMBELEA ENEO LENYE MGOGORO WA ARDHI NKUHUNGU , NDACHI

Imetumwa : September 11th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt. Khatibu Kazungu akiambatana na Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Miundombinu, Mhandisi Frank Mabubu pamoja na Maafisa Ardhi kutoka Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dodoma, wametembelea eneo lililopo Nkuhungu Ndachi, Kata ya Mnadani lenye mgogoro wa umiliki kati ya Bi. Asha Berege na Sisters of St. Grace, Septemba 11, 2025.

Mgogoro huo unahusisha eneo lililokua shamba mwaka 1986 ambapo kwa sasa ni Kiwanja, linalodaiwa kumilikiwa na Bi. Asha Berege akiwa na hati ya umiliki lakini eneo hilo hilo liliuzwa kwa Sisters of St. Grace ambao pia wana nyaraka halali za umiliki kutoka kwa Bi. Fransisca Mahemba.

Hata hivyo, Dkt. Kazungu amesikiliza historia ya mgogoro huo kutoka pande zote mbili pamoja na kuoneshwa eneo lenye mgogoro na ametoa muda wa majuma mawili kwa Maafisa Ardhi hao kufuatilia nyaraka zote za wakati huo ili kujiridhisha nani hasa ni mmiliki halali wa eneo kisha atakutana na wahusika wote ili kutatua mgogoro huo.


 #dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YATEKELEZA MIRADI YENYE MANUFAA KWA WANANCHI WA WILAYA YA CHAMWINO

    September 15, 2025
  • RAS DKT. KAZUNGU AWATAKA WATUMISHI WA SERIKALI KUFANYA KAZI KWA WELEDI , JUHUDI NA MAARIFA

    September 15, 2025
  • MAMLAKA YA MAPATO YAPONGEZWA KWA UZINDUZI WA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI BIASHARA

    September 11, 2025
  • DKT. KAZUNGU ATEMBELEA ENEO LENYE MGOGORO WA ARDHI NKUHUNGU , NDACHI

    September 11, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.