• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

‘iMES’ KUTATUA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA KADA YA MAENDELEO YA JAMII MKOA WA DODOMA

Imetumwa : June 6th, 2025

Na. Hellen M. Minja,

        Habari - DODOMA RS

Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa iMES kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa ngazi zote za Mkoa wa Dodoma wenye lengo la kutatua kadhia ya ukusanyaji, uwasilishaji na upatikanaji wa taarifa za sekta hiyo zinazosaidia katika kufanya mipango, bajeti na maamuzi kwa ngazi mbalimbali.

Hayo yamebainishwa na Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Jeremiah Mwambange, alipokua akitoa mafunzo juu ya matumizi ya Mfumo huo kwenye kikao kazi kilichohusisha Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri 8 za Mkoa wa Dodoma kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Juni 6, 2025.

"TAMISEMI imeona ni vizuri tutumie Mfumo wa iMES ili tuweze kukusanya taarifa na kuziingiza kwenye Mfumo ambao utasaidia ku 'control' changamoto ya kujirudia na ucheleweshaji wa taarifa kutoka katika ngazi za Kata, Halmashauri na Mkoa, hatimaye kufika kwa watumiaji kwa wakati. Taarifa hizi zinawezesha kupanga mipango, bajeti na maamuzi katika ngazi mbalimbali".

Kadhalika, Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Honorata Rwegasira ambaye pia ni mmoja kati ya Maafisa wanaopatiwa mafunzo hayo, ametaja faida za matumizi ya Mfumo huo kuwa utawasaidia kuingiza taarifa zao za kisekta na endapo mtu akihitaji taarifa, pia itarahisisha kwa kuingia kwenye Mfumo na kuipata kwa urahisi na kwa wakati.

Awali, katika ukusanyaji na upatikanaji wa taarifa mbalimbali za viashiria vya utekelezaji wa shughuli za Maendeleo ya Jamii, wamekua wakitumia njia ya 'word' na 'excel' kupata taarifa mbalimbali jambo ambalo limesababisha changamoto ya ubora wa taarifa kutokana na taarifa hizo wakati mwingine kutofautiana kutoka kipindi cha robo moja hadi nyingine.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ‘iMES’ KUTATUA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA KADA YA MAENDELEO YA JAMII MKOA WA DODOMA

    June 06, 2025
  • BAHI WAJIVUNIA BILIONI 52, MIAKA 4 YA RAIS SAMIA

    June 03, 2025
  • WATAALAMU WA ELIMU NGAZI YA HALMASHAURI WANADHAMANA YA KULETA TIJA KWA TAIFA

    June 04, 2025
  • MRADI WA ‘YEFFA’ MKOA WA DODOMA WAIBUA VIJANA WANUFAIKA 84,590 MKOA WA DODOMA

    June 04, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.