• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA USHAURI YARIDHIA KUGAWANYWA MAJIMBO YA DODOMA MJINI NA CHEMBA

Imetumwa : March 24th, 2025

Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS


Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dodoma (RCC), leo Machi 24, 2025, imeridhia mapendekezo ya kugawanywa kwa Majimbo ya uchaguzi ya Dodoma Mjini na Chemba wakati wa kikao kilicholenga kujadili ajenda ya kugawa Majimbo hayo ambayo yanatajwa kuwa makubwa na kuathiri upatikanaji wa huduma za haraka kwa wananchi wa maeneo hayo.


Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Jengo la Mkapa Jijini Dodoma ambapo taarifa iliwasilishwa mbele ya mwenyekiti wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule juu ya sababu za kugawanywa kwa Majimbo hayo, nae akasema;


“Tumekubaliana kuwa majimbo haya yagawanywe, nendeni mkayafanyie kazi Wilaya husika na leo hii muache nyaraka ambayo ni sahihi lakini kuridhia lilikua ni jambo la msingi. Nisisitize wataalamu endeleeni kufanya vitu kwa usahihi ili mtupatie vitu ambavyo vipo sawasawa”


Akiwasilisha taarifa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mwanasheria kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bw. Jofrey Pima, ametaja vigezo vilivyozingatiwa na Menejimenti katika ugawaji wa Majimbo hayo.


“Katika ugawaji wa majimbo hayo, Menejimenti ilizingatia kuongeza wigo wa uwakilishi wa wananchi wa Jimbo la Dodoma Mjini na lile la Chemba pamoja na wananchi kupata huduma ya Mbunge wao kwa urahisi ikiwa  ni pamoja na kutatuliwa changamoto zao kwa wakati” Amesema Bw. Pima


Hata hivyo, Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa kutokana na ukuaji wa kasi wa Jiji la Dodoma, kuna ulazima wa kuwepo kwa namna nzuri ya kusogeza huduma za kijamii na kimaendeleo zaidi kwa wananchi kwa kuwa na uwakilishi wa zaidi ya Jimbo moja.


Mapendekezo ya kikao hicho yatapelekwa kwenye Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kuridhia mchakato wa kuyagawa Majimbo hayo ambapo endapo itaridhia, Majimbo hayo yatagawanywa na kuwa Jimbo la Dodoma Mjini, Jimbo la Mtumba, Jimbo la Chemba Mashariki na Jimbo la Chemba Magharibi.




#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AZINDUA NYUMBA YA MWALIMU YA 02 KWA 01 KONDOA

    July 01, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.