• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMPENI YA MTI WANGU BIRTHDAY YANGU YAZINDULIWA CHEMBA

Imetumwa : March 17th, 2025

Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS


Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya amezindua rasmi kampeni ya ‘mti wangu birthday yangu’ katika Halmashauri ya Chemba kwenye shule ya Sekondari Kidoka mnamo Machi 17, 2025 ambapo miche ya miti 300 ya matunda imepandwa shuleni hapo.


Akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa shule hiyo, Katibu Tawala huyo ametaja lengo la upandaji wa miti ya matunda katika shule hiyo kuwa ni kuwajengea watoto hao utamaduni wa kukuza uchumi kupitia biashara ya matunda


“Nimekuja shule hii kuwafundisha watoto hawa faida za miti ya matunda, kwanza utamfundisha kupenda mazingira, mti huu ukiwa mkubwa utaleta kivuli, mti huu utatoa matunda, atakula mwenyewe yatamjengea afya njema lakini pia utamfundisha kuwa ana uwezo wa kufanya biashara na kujua thamani ya fedha pindi atakapokua mkubwa”. Bw. Mmuya


Kadhalika, Katibu Tawala Mkoa ameongeza kuwa Msingi wa program hiyo sio kupanda idadi kubwa ya miti tu bali ni miti inayopandwa inakua, haipotei wala kukauka kwani asilimia 100 ya miti yote iliyopandwa katika kampeni hiyo ipo na utunzaji wake unaendelea


Kampeni ya ‘mti wangu birthday yangu’ ni utekelezaji wa maagizo ya Mhe. Rais aliyoyatoa kwa viongozi aliowateua Aprili 06, 2021, kupanda miti ili kurudisha uoto uliopotea kutokana na uharibifu wa mazingira. Dodoma inatekeleza agizo hilo ambapo mpaka sasa takribani miti 4500 imepandwa tangu kuzinduliwa kwa kampeni hiyo Oktoba 18, 2024.




#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • TAWLA - SAUTI YA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKOSA ULINZI WA KISHERIA KATIKA JAMII

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.