• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMPENI YA TWENDE BUTIAMA YATOA MADAWATI 100 NA KUPANDA MITI 1000 DODOMA

Imetumwa : October 1st, 2024


Na ; Happiness E. Chindiye

        Habari - Dodoma RS

Katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sekta ya Elimu na Utunzaji wa Mazingira, kampeni ya Twende Butiama 2024 inayohusisha kikundi cha Waendesha Baiskeli inayo dhaminiwa na Kampuni ya Mtandao wa Simu Vodacom Kanda ya kati na Benki ya Stanbic, imetoa madawati 100 katika Shule ya Msingi Dodoma Makulu na miti 1000 kwa ajili ya kuendelea kukijanisha Jiji hili.


Hafla hiyo ilifanyika  katika Shule ya Msingi Dodoma Makulu Oktoba Mosi, 2024 Jijini Dodoma.

Akizungumza na hadhara hiyo kaimu mkuu wa mkoa ambaye ni katibu tawala wa mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya amewasihi  kuendelea kusimamia misingi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“ Haya ndio maisha aliyokuwa akiishi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hakuwa mbinafsi, alipenda umoja ,uzalendo wa kweli kwa vitendo na Amani kama mnavyofanya, hivyo simamieni misingi hiyo “ Ameeleza Bw. Mmuya

Naye Mkuu wa Kanda ya Kati Kampuni ya Simu Vodacom Bw. Joseph Sayi ameahidi kuendelea kushirikiana na Serikali na kuunga mkono jitihada za Mhe. Rais katika sekta ya elimu na utunzaji wa mazingira.

Kwa upande wake M/ Kiti wa msafara wa Twende Butiama Bw. Gabriel Landa amesema safari hiyo ya kwenda Butiama kwa Baiskeli inalenga kumuenzi Baba wa Taifa kwa vitendo na kuziishi  falsafa zake ikiwemo ya kupambana na maadui wa tatu wa maendeleo ambao ni ujinga , umasikini na maradhi.

“ Tumekuwa tukifanya hayo kwa  miaka sita sasa, ambapo tunashirikiana na wadau mbalimbali tumeweza kukabidhi madawati zaidi ya 1000 katika shule zaidi ya 13 hadi kufikia mwaka jana,na tumeweza kupanda miti zaidi ya elfu hamsini na kuhamisisha Watanzania kujali afya zao kupitia program mbalimbali “ Ameeleza Bwa. Landa

Kikundi cha Waendesha Baiskeli hao wakiendesha Baiskeli kuelekea Butiama ambapo kilele chake ni tarehe 14 Oktoba 2024 katika siku ya Mwalimu Nyerere kinahusisha   takribani watu 90, ambapo wanawake ni 5 na wanaume 85 kutoka Tanzania Bara na Visiwani.


&&&


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu



Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.