• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIWANDA CHA KUUNGANISHA PIKIPIKI NA BAJAJI KUANZISHWA CHAMWINO, DODOMA

Imetumwa : July 22nd, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Mkoa wa Dodoma unatarajia kuanza sehemu ya pili ya utekelezaji wa Mpango wa ushirikiano na Wawekezaji kutoka Kampuni ya LIFAN GROUP ya nchini China ambao wanatarajia kuwekeza kwenye kiwanda cha kuunganisha Pikipiki na Bajaji katika Wilaya ya Chamwino.

Wawekezaji hao kutoka Kampuni za LIFAN GROUP na TAMOBA za nchini China, wamefika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jengo la Mkapa, Jijini hapa na kufanya mazungumzo mafupi yaliyoambatana na kutangaziwa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana Makao Makuu ya nchi.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, Katibu Tawala Msaidizi Seksheni za Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bi. Mwajabu Nyamkomora amesema katika Wilaya ya Chamwino, tayari kuna eneo la Ekari 100 lililotengwa kwa ajili ya uwekezaji na Serikali imeshawekeza Mkoa huu kwa ajili ya Sekta binafsi.

Aidha, Mkurugenzi Mkuu na Mwakilishi wa Kampuni ya TAMOBA Bw. Joseph Kimisha amesema wamechagua Mkoa wa Dodoma kuwa kitovu cha kuhudumia Kanda zao zote Sita ambazo ni Kanda ya Ziwa (Mwanza), Kanda ya Kaskazini (Arusha), Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam), Kanda ya Kusini (Mbeya), Kanda ya Kati (Dodoma) na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Ujumbe wa Wataalam hao umeongozwa na Bw. Joseph Evarist Kimisha – Mkurugenzi Mkuu TAMOBA, Bw. Xiong Wey – Mwakilishi wa LIFAN GROUP na TAMOBA, Bw. Godwill Benda - Mkuu wa Idara ya Sheria na Mipango, Bi. Agness Masokola – Mkurugenzi wa Utawala na Biashara.  


#takedodomatotheworldandbringtheworldtododoma

#dodomawearereadyforyou

#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MRADI WA ‘KOFFI’ WATOA DOLA BILIONI 2.455 KUBORESHA HUDUMA ZA UZAZI NA MTOTO DODOMA

    August 21, 2025
  • WANANCHI NA WADAU WAASWA KUCHAGIZA UTALII - DODOMA

    August 21, 2025
  • WADAU WAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA JAMII DHIDI YA MAJANGA

    August 19, 2025
  • WAFANYABIASHARA WA MKOA WA DODOMA WATANGAZIWA FURSA ZA BIASHARA NCHINI INDONESIA

    August 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.