• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE REA YAGAWA MAJIKO 114 BAHI

Imetumwa : March 6th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki katika hafla ya ugawaji majiko Banifu 114 yanayotumia nishati safi na Salama ya kupikia katika hafla iliyofanyika Wilaya ya Bahi Kijiji cha Zanka  ambapo wananchi wa kijiji hicho na kijjii cha Kigwe wamenufaika. Majiko hayo yametolewa na jumuiya ya wanawake ya wakala wa Nishati Vijijini ambao ndio waandaaji wa tukio hilo ikiwa  ni sehemu ya maadhimisho ya  siku ya wanawake Duniani.

Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo, Senyamule amesema kuwa Matumizi ya kuni na Mkaa yamekuwa chanzo kikuu kinachotumika kwa kupikia hususani Maeneo ya Vijijini na kupelekea kutumika kwa kiwango kikubwa na hivyo kuleta athari katika mazingira.

“Serikali itaendelea kuweka vivutio kwa wazalishaji na wasambazaji wa Teknolojia na bidhaa za nishati safi na salama ya kupikia na kuongeza wigo wa upatikanaji wa bidhaa pamoja na kutoa unafuu wa gharama ili kuwezesha watumiaji kutumia bidhaa hiyo” Alisisitiza Mhe. Senyamule.

Zaidi ya tani milioni mbili za Mkaa zimekuwa zikitumika kwa mwaka kama nishati ya kupikia hivyo imeleta athari za mazingira na afya katika jamii, zaidi ya asilimia 85 ya kaya hapa nchini hutumia kuni na Mkaa kama chanzo kikuu cha nishati ya kupikia.

Naye Mkurugenzi Uendelezaji Masoko na Teknolojia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Bi. Advera Mwijage amesema jiko linatumia nishati mbili ambayo ni jiko la kuni na mkaa ambalo linaweza kutumika sehemu yoyote na inamsaidia mwananchi au mama wa kitanzania kupunguza gharama ya matumizi ya fedha na kupunguza ukataji wa miti ovyo.

Vilevile wenyekiti wa kijiji cha Kigwe Jeremia E.Sobayi amesema kila mwananchi  anatakiwa kuwa balozi mzuri  katika matumizi  sahihi ya majiko hayo na kila mmoja wao awe mlinzi wa mwenzake ili isije kutokea mtu akafanyia matumizi mengine nje ya malengo yaliyowekwa ya kutunza mazingira kwa kutokukata miti hovyo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.