- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Seksheni
- Administration and Human Resource Management Section
- Planning and Coordination
- Infrastructure section
- Management Monitoring and Inspection section;
- Education and vocational Training section
- Economic and productive sectors section;
- Health, Social welfare and Nutrition services section
- Industry, Trade and Investment section
- Vitengo
- Wilaya
- Mamlaka za Serikali za mitaa
- Uwekezaji
- Machapisho
- Kituo cha Habari

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya umuhimu wa zabibu ya Dodoma katika uzalishaji mvinyo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Alkovintages Bw. Archard Kato (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa tamasha la mvinyo Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni kwa mchango wa nchi yake katika kusaidia kilimo cha zabibu wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake katika sekta ya mvinyo na zao la zabibu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Alkovintages Bw. Archard Kato wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali pamoja na wadhamini wa Tamasha la Mvinyo.
Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akisalimiana na Balozi wa Itali nchini Mhe. Mhe. Roberto Mengoni wakati wakitembelea mabanda ya wadau wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la mvinyo Mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akisalimiana na Balozi wa Itali nchini Mhe. Roberto Mengoni wakati wakitembelea mabanda ya wadau wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la mvinyo Mkoani Dodoma.

