• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Miradi Sita ya Halmashauri ya Wilaya Bahi Yapitishwa na Mwenge wa Uhuru

Imetumwa : August 16th, 2022

Ikiwa ni siku ya kwanza tangu Mwenge wa Uhuru uingie na kuangaza Mkoani Dodoma, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi imekuwa Halmasuri ya kwanza  kuangaziwa na Mwenge wa uhuru.

Akizungumza wakati wa kuwakaribisha viongozi wa mwenge wa uhuru mwaka 2022 , Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe. Mwanahamisi Munkunda amesema kuwa Wilaya ya Bahi ina miradi sita ambayo itatembelewa na Mwenge wa Uhuru.

Mhe.Munkunda ameitaja miradi hiyo kuwa mradi wa uogeshaji wa Mifugo.Zaidi ya 60% za makusanyo ya Halmashauri ya Bahi hutokana na Mifugo.

Mradi wa Shule shikizi Mpamantwa, mradi huu umesaidia kuwapunguzia wanafunzi umbali wa kutembea mbali mkubwa kwenye shule mama. Aidha mradi huu umesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi walioandikishwa darasa la awali na darasa la kwanza.

Mradi wa tatu ni wa kikundi cha Vijana Technician Corporation, mradi huu ni wa vijana ambao awali walikuwa mafundi umeme ila baadae wakaamua kaunzisha duka la vifaa vya umeme, mradi huu umewanufaisha vijana kwani umeongeza ajira.

Mradi wa nne ni mradi wa maji  ambao lengo lake ni kuboresha huduma za usambazaji maji katika mji wa Bahi na hatimaye kuongeza uzalishaji wa maji toka lita 377,000 hadi lita 905,000/.

Mradi wa tano ni mradi wa utoaji huduma za mionzi (X-ray na Ultrasound ) hospitali ya wilaya.kabla ya kuanzishwa mradi huu wagonjwa wengi walikuwa wanaenda kupata huduma hospitali ya mkoa (general Hospital Dodoma).Tangu huduma hii ianze 15/6/2022, jumla ya wagonjwa 413 wamenufaika na huduma ya mionzi ya X-ray na wagonjwa 242 kwa upande wa Ultrasound.

Mradi wa Sita ni Ujenzi wa Boksi Kalavati la Mzizima  lenye urefu wa mita 35.15 n1 upana mita7.7,kimo mita 4.0 upana wa mita 4.0. Ujenzi wa kalavati /kivuko hiki utasaidia barabara ya Chigongwe - Chipanga kupitika wakati wote na kuondoa tatizo la kusimama kwa shughuli za usafiri na usafgirishaji wakati wa mvua na watu kusombwa na  maji ya mto.

Miradi yote hiyo sita ilipitiwa na viongozi wa Mwenge wa Uhuru na Kupitishwa japo baadhi ya miradi ilihitaji marekebisho. Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma ameupongeza uongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuwakumbusha kusensabika mara ifikapo 23.8.2022.

Mwisho

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.