• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

‘PUMA ENERGY TANZANIA’ WAKABIDHI MITUNGI 100 DODOMA KUUNGA MKONO MATUMIZI YA NISHATI SAFI

Imetumwa : June 3rd, 2025

Na: Hellen M. Minja

       Habari - DODOMA RS

Katika kuunga mkono juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi zilizoasisiwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , Kampuni ya nishati ya Puma Energy Tanzania imekabidhi mitungi 100 ya gesi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ambaye ameigawa kwa wananchi katika maadhimisho ya ‘Samia Day’ yaliyofanyika leo Juni 03, 2025 katika Kata zote 209 za Mkoa wa Dodoma.

Akipokea Mitungi hiyo katika hafla fupi iliyoandaliwa kwenye viwanja vya ofisi yake Jijini humu, Mhe. Senyamule amesema;

“Ajenda moja mahsusi ambayo tumeiweka ni kuhakikisha tunaongea na kuhamasisha juu ya matumizi ya nishati safi ambayo Mhe. Rais mwenyewe ameiasisi katika nchi yetu lakini amepewa kuwa ‘Champion wa Afrika’. Nishukuru Puma Gas kwa sababu mmeifanya ajenda hiyo imepata nguvu kubwa siku ya leo kwani pamoja na kuelezea, kushawishi na kuhamasisha, pia tutagawa mitungi ya gesi kwa ‘sytle’ tutakayokubaliana”

Awali, akizungumza kabla ya makabidhiano hayo, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya amesema Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mengi ikiwemo ushiriki wake na wadau mbalimbali ambapo akiwa kinara wa mazingira, alihamasisha matumizi ya nishati safi hivyo Mkuu wa Mkoa ameungana na wananchi wa Dodoma kuidhihirishia Dunia na Tanzania kuwa Dkt. Samia amefanya makubwa ndani ya Mkoa wa Dodoma

Kwa upande wake  Mwakilishi wa Puma Energy Tanzania Bw. Jeff Nasser ambaye amemuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, amesema Kampuni yake inaunga mkono juhudi za Serikali katika kuhakikisha Watanzania wanatoka kwenye matumizi ya nishati isiyo salama na kwenda kutumia nishati safi, na wataendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha wanaleta mabadiliko hayo nchi nzima.



#samiaday2025dodomatumetekeleza

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.