• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS DKT. SAMIA KUFANYA ZIARA JIJINI DODOMA

Imetumwa : June 13th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara Jijini Dodoma Juni 14, 2025, ambapo atatembelea miradi mikubwa ya kimkakati ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha  Msalato  kilichokadiriwa kugharimu kiasi cha shilingi za Kitanzania bilioni 359 pamoja na barabara ya mzunguko wa nje shilingi bilioni 221.

Akiutangazia Umma kuhusu ziara hiyo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini hapa, Juni 13, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema;

“Katika ziara hiyo, Mhe. Rais ataambatana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mhe. Dkt. Akinwumi A. Adesina ambapo atakagua mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato na ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje kipande cha kuanzia Mtumba-Veyula hadi Nala”.

Aidha, Mhe. Senyamule ameongeza kuwa, ziara hiyo itahitimishwa katika eneo la Nala ambapo  Mhe. Rais atahutubia wananchi wa Dodoma hivyo amewataka kutumia fursa hiyo muhimu, kuonesha shukrani kwa Mhe. Rais ambaye amefanya mambo makubwa kwenye Mkoani huu.

Katika kipindi cha uongozi wake wa miaka minne tangu kuingia madarakani, Mkoa wa Dodoma peke yake umepatiwa miradi 3,093 yenye thamani ya zaidi ya shilingi trilioni 10. Hiki ni kiasi kikubwa cha fedha kuwahi kutumika kutekeleza miradi kwa Mkoa wa Dodoma.

Ukamilishaji wa Miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa katika Jiji la Dodoma, unatarajiwa kulipa hadhi Jiji hili ambalo ndio sura ya Makao Makuu ya nchi ya Tanzania,kadhalika kusaidia kuinua uchumi wa Wakazi wake kupitia fursa mbalimbali zitakazotokana na miradi hiyo.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA 2023/2024

    June 13, 2025
  • KIWANDA CHA NONDO KINACHOTUMIA UMEME JUA KUJENGWA CHAMWINO MKOANI DODOMA

    June 13, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA KUFANYA ZIARA JIJINI DODOMA

    June 13, 2025
  • DODOMA YAENDELEA NA MAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA KUPINGA DAWA YA KULEVYA DUNIANI

    June 12, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.