• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DKT. MAHENGE ARIDHISHWA NA UJENZI WA VITUO VYA AFYA VYA MTERA NA CHIPOGORO WILAYANI MPWAPWA, AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUTEKELEZA AHADI YA KUJENGA KITUO CHA AFYA CHA MTERA

Imetumwa : September 9th, 2020

RC DKT. MAHENGE ARIDHISHWA NA UJENZI WA VITUO VYA AFYA VYA MTERA NA CHIPOGORO WILAYANI MPWAPWA, AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUTEKELEZA AHADI YA KUJENGA KITUO CHA AFYA CHA MTERA.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameelezea kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa vituo vya Afya vya Mtera na Chipogoro vilivyopo Wilayani Mpwapwa ambavyo vimegharimu zaidi ya shilingi  Milioni 600 huku vikitarajiwa kukamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi mwishoni mwa mwezi huu wa septemba kwa kituo cha Mtera huku kituo cha Chipogoro kikitarajiwa kuanza kutoa huduma katikati ya mwezi huu.


Dr. Mahenge akiwa ziarani Mpwapwa katikati ya wiki hii, amemshukuru Rais Magufuli kwa kutekeleza ahadi yake aliyoitoa kwa wananchi wa Mtera mwezi Aprili, 2019 akiwa safarini kutokea Iringa kuja Dodoma  baada ya kuridhia ombi la wananchi hao la kubadilisha matumizi ya majengo ya iliyokuwa kambi ya wakandarasi waliojenga barabara ya Dodoma Iringa ili yatumike kama kituo cha afya  na baadae kuleta shilingi milioni 400 kwa ajili ya kuongeza miundombinu ya majengo ya kutolea huduma kwenye kituo hicho cha Mtera na sasa ujenzi ukiwa ukingoni kituo kikitarajiwa kuanza kutoa huduma mwishoni mwa mwezi huu.


Dkt. Mahenge amebainisha uongozi wa Rais Magufuli ni wa vitendo na matokeo yanayoonekana ambapo amethibitisha kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake katika sekta ya Afya kwenye Mkoa wa Dodoma, Rais Magufuli amefanikiwa kujenga vituo vipya vya afya 26 kwa gharama ya zaidi ya bilioni 13 na hospitali 6 kwa gharama ya zaidi ya bilioni 9 jambo ambalo hapo zamani tulizoea kusubiri kwa miaka mingi kukamilisha miradi kama hii huku akibainisha kuwa bajeti ya dawa kwenye Mkoa wa Dodoma kwa sasa imeongezeka hadi kufikia bilioni 12 kwa mwaka kutokea milioni 900 iliyokuwepo wakati Rais Magufuli anaingia madrakani.





Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020 January 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2020 January 15, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 SHULE ZA BWENI (WASICHANA NA WANAUME) . December 20, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2020 January 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KATIBU TAWALA SINGIDA AKABIDHI OFISI KWA KATIBU TAWALA DODOMA

    March 23, 2023
  • MACHINGA DODOMA WAMPONGEZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    March 23, 2023
  • KIWANDA CHA AINA YAKE KUJENGWA KONGWA

    March 17, 2023
  • WAFANYAKAZI WAASWA MSHIKAMANO MAHALA PA KAZI

    March 15, 2023
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Mkoa akiongoza siku ya maombi jijini Dodoma
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.