• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DKT. MAHENGE AWATEMBELEA WAHANGA WA MAFURIKO BAHI AWAPA SH. 3 MILIONI KUNUNUA MAHITAJI

Imetumwa : January 21st, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Mahenge (kushoto) akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Viongozi wa Wilaya ya Bahi wametembelea vitongoji vya mji wa Bahi Wilaya ya Bahi vilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge alichangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kugharamia mahitaji mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko, aagiza wananchi wahamishwe kwenye eneo hilo hatarishi lenye kufurika maji na wapewe maeneo mengine salama ya viwanja wajenge makazi yao, aidha, ameagiza ili kupunguza athari za mafuriko ya mvua kila Halmashauri ya Wilaya iweke kwenye maandalizi ya bajeti mpango wa ujenzi wa mabwawa ya kuvunia maji ya mvua ili kupunguza athari za mvua hususani mafuriko .

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Mahenge (wapili kutoka kulia) akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Viongozi wa Wilaya ya Bahi wametembelea vitongoji vya mji wa Bahi Wilaya ya Bahi vilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge alichangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kugharamia mahitaji mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko, aagiza wananchi wahamishwe kwenye eneo hilo hatarishi lenye kufurika maji na wapewe maeneo mengine salama ya viwanja wajenge makazi yao, aidha, ameagiza ili kupunguza athari za mafuriko ya mvua kila Halmashauri ya Wilaya iweke kwenye maandalizi ya bajeti mpango wa ujenzi wa mabwawa ya kuvunia maji ya mvua ili kupunguza athari za mvua hususani mafuriko .

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Mahenge (kushoto) akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Viongozi wa Wilaya ya Bahi (hawapo pichani) wametembelea na kuwajulia hali wananchi kwenye vitongoji vya mji wa Bahi Wilaya ya Bahi vilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge alichangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kugharamia mahitaji mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko, aagiza wananchi wahamishwe kwenye eneo hilo hatarishi lenye kufurika maji na wapewe maeneo mengine salama ya viwanja wajenge makazi yao, aidha, ameagiza ili kupunguza athari za mafuriko ya mvua kila Halmashauri ya Wilaya iweke kwenye maandalizi ya bajeti mpango wa ujenzi wa mabwawa ya kuvunia maji ya mvua ili kupunguza athari za mvua hususani mafuriko .

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Mahenge (wapili kutoka kulia) akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Viongozi wa Wilaya ya Bahi (hawapo pichani) wametembelea na kuwajulia hali wananchi kwenye vitongoji vya mji wa Bahi Wilaya ya Bahi vilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge alichangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kugharamia mahitaji mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko, aagiza wananchi wahamishwe kwenye eneo hilo hatarishi lenye kufurika maji na wapewe maeneo mengine salama ya viwanja wajenge makazi yao, aidha, ameagiza ili kupunguza athari za mafuriko ya mvua kila Halmashauri ya Wilaya iweke kwenye maandalizi ya bajeti mpango wa ujenzi wa mabwawa ya kuvunia maji ya mvua ili kupunguza athari za mvua hususani mafuriko .

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Mahenge akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Viongozi wa Wilaya ya Bahi (hawapo pichani) wametembelea na kuwajulia hali wananchi kwenye vitongoji vya mji wa Bahi Wilaya ya Bahi vilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge alichangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kugharamia mahitaji mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko, aagiza wananchi wahamishwe kwenye eneo hilo hatarishi lenye kufurika maji na wapewe maeneo mengine salama ya viwanja wajenge makazi yao, aidha, ameagiza ili kupunguza athari za mafuriko ya mvua kila Halmashauri ya Wilaya iweke kwenye maandalizi ya bajeti mpango wa ujenzi wa mabwawa ya kuvunia maji ya mvua ili kupunguza athari za mvua hususani mafuriko . Dkt Mahenge amewataka wananchi wa Bahi wote pamoja na wahanga wa mafuriko kuendeleza shughuli zao za uzalishaji mazao mashambani kwa kuwa mvua zinaendelea kunyesha vizuri na kwamba hata kama mafuriko yametokea lakini bado wananchi wana jukumu la kuzalisha chakula cha kutosha na kuongeza kuwa baadae hataruhusu maombi yoyote ya kupatiwa chakula na serikali kwasababu za njaa kwa kuwa mvua msimu huu zinanyesha kiwango cha kutosha kuzalisha chakula cha kutosha.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Mahenge (hayupo pichani) amewapongeza Viongozi wa Wilaya ya Bahi na Taasisi zilizopo Wilayani humo kwa ushirikiano wao na mshikamano wao mkubwa unaowawezesha kutekeleza svema shughuli za maendeleo na hata kuweza kushughulikia maafa kama ya mafuriko ya mvua yaliyotokea Wilayani humo kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, Mhe. Dkt. Mahenge akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Viongozi wa Wilaya ya Bahi wametembelea na kuwajulia hali wananchi kwenye vitongoji vya mji wa Bahi Wilaya ya Bahi vilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge alichangia shilingi milioni 3 kwa ajili ya kugharamia mahitaji mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko, aagiza wananchi wahamishwe kwenye eneo hilo hatarishi lenye kufurika maji na wapewe maeneo mengine salama ya viwanja wajenge makazi yao, aidha, ameagiza ili kupunguza athari za mafuriko ya mvua kila Halmashauri ya Wilaya iweke kwenye maandalizi ya bajeti mpango wa ujenzi wa mabwawa ya kuvunia maji ya mvua ili kupunguza athari za mvua hususani mafuriko . Dkt Mahenge amewataka wananchi wa Bahi wote pamoja na wahanga wa mafuriko kuendeleza shughuli zao za uzalishaji mazao mashambani kwa kuwa mvua zinaendelea kunyesha vizuri na kwamba hata kama mafuriko yametokea lakini bado wananchi wana jukumu la kuzalisha chakula cha kutosha na kuongeza kuwa baadae hataruhusu maombi yoyote ya kupatiwa chakula na serikali kwasababu za njaa kwa kuwa mvua msimu huu zinanyesha kiwango cha kutosha kuzalisha chakula cha kutosha, Pichani juu ni baadhi ya wajumbe wa kikosi cha Jeshi la Akiba/Mgambo wilayani Bahi waliohusika katika kazi ya kupiga mahema kwa ajili ya kuandaa makazi ya muda ya wananchi waliokumbwa na mafuriko kwenye vitongoji vya Mji wa Bahi..

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.