• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AMWAGIZA MKANDARASI KUJIELEZA OFISINI KWAKE

Imetumwa : February 16th, 2023

RC SENYAMULE AMWAGIZA MKANDARASI KUJIELEZA OFISINI KWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amemuagiza Mkandarasi aliyepewa Zabuni ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma katika eneo la Njedengwa kufika ofisini kwake siku ya Jumatatu asubuhi Februari 20, kujieleza kwa nini mpaka sasa mradi huo haupo kwenye hatua inayoridhisha ya umaliziaji kulingana na Mkataba aliopatiwa na Serikali wa kukamilisha ujenzi huo Mwezi Aprili 2023.

Mhe. Senyamule ametoa agizo hilo wakati alipofanya ukagua wa ujenzi huo unaoendelea akiwa ameongoza na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri, Kamati Kuu ya ulinzi na usalama ya Mkoa pamoja na viongozi wa idara mbalimbali za Mkoa.

“Nataka Mkandarasi aje mwenyewe na asitume mwakilishi mana huku ni kuchezea miradi ya Serikali mana mradi upo nyuma kwa kiasi kikubwa na naona hapa mutaandika barua ya kuomba kuongezewa muda bila sababu ya msingi. Lengo la Serikali kutoa fedha hizi ni wananchi waweze kupata huduma kwa haraka lakini ninavyoona hapa hakuna dalili ya mradi huu kukamilika mwezi Nne” Ameagiza Mhe. Senyamule

Ujenzi huo unaogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 1.753 pamoja na VAT, utekelezaji wake mpaka sasa umefikia asilimia 42 na unahusisha ofisi, uzio, kibanda cha mlinzi, ukumbi wa mikutano, Tehama, mfumo wa zima moto pia njia ya kupita watu wenye ulemavu. Kukamilika kwa Mradi huo kutasaidia wananchi wengi kupata huduma kwa wingi na kwa urahisi tofauti na sasa ambapo wanapata huduma kwenye eneo dogo lisilokidhi mahitaji ya wananchi wengi wanaohitaji huduma kwenye ofisi hiyo.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.