• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AZINDUA JENGO LA KUPUMZIKIA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA

Imetumwa : June 25th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:DodomaRs

Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amezindua Jengo la kupumzikia ndugu wa wagonjwa katika hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma,Leo tarehe 25 Juni 2025 Katika Viwanja vya Hospital hiyo Jijini Dodoma.

Akizungumza wakati wa Hotuba yake Mhe. Senyamule amewataka   wadau wengine wa Serikali na ambao sio wa Serikali kuendelea kuunga Mkono Jitihada mbalimbali za Kiserikali kama alivyofanya  Waziri wa Madini na Mbunge wa Jiji la Dodoma Mhe. Mbunge Anthony Mavunde kwa kufanya Ukarabati  katika jengo la kupumzikia ndugu wa Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma.

"Nitoe wito kwa Wadau wengine waendelee kujitokeza kuunga Mkono  jitihada zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dkt.Samia Suluhu Hassan kama alivyofanya Mbunge".

Kadhalika, Mhe. Senyamule, amewataka watumishi wa Hospitali hiyo kuendelea kuchapa kazi zaidi ili huduma ziendelee kuwa bora.

Kwa upande wake Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma amemshukuru Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini  Mhe.  Anthony Mavunde kwa kufanya Ukarabati mkubwa wa Jengo la Kupumzikia Ndugu wanaosubiri Wagonjwa.

"Tunaamini huduma ni nzuri na hili jengo ni msaada mkubwa sana kwa wateja wanaosubili ndugu zao wakati huduma zinaendelea".amesema Dkt.Ibenzi.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • VODACOM TANZANIA KUPANDISHA HADHI MINARA YAO KUIMARISHA MAWASILIANO DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.