• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AHIMIZA WANA DODOMA KUDUMISHA AMANI

Imetumwa : April 16th, 2023

Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameungana na Viongozi wa Dini, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Viongozi wa taasisi za Umma , Viongozi wa Serikali, Wabunge, Madiwani , Baraza la wazee , wafanyabiashara ,sekretarieti ya Mkoa, Wakuu wa vyuo, Machifu, wananchi wa Mkoa wa Dodoma na Makundi mbalimbali na kupata iftari ya pamoja aliyoiandaa nyumbani kwake Uzunguni.

Katika iftari hiyo iliyoongozwa na Mgeni Maalimu Mkuu wa Mkoa Arusha ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Mkoa Mhe. John Mongela pia ilihudhuriwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Sheikh Mustapha Shabaan, pamoja na kulenga kutoa sadaka na kukuza mahusiano mema baina ya wananchi na viongozi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan pia ili lenga kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.

Senyamule ametoa salamu za shukurani kwa viongozi mbalimbali wa dini, serikali na wananchi waliofika kwenye iftari hiyo kwa kufanikiwa kujumuika pamoja katika tukio lilalojenga umoja, amani na mshikamano miongoni mwajamii.

"Tuliona kama Mkoa ni nafasi nzuri ya kukaa na nyie pamoja na kula chakula hiki lakini kuwapongeza kwa kazi ambayo mmekuwa mkifanya katika kipindi hichi cha mfungo, najua ukiwauliza watu kwenye mfungo unafanya nini wanasema tunafanya toba kwa Mwenyezi Mungu atupe rehema kwa mambo tuliyo mkosea, maombi maalum kwa ajili ya mambo ambayo tuna yahitaji kama familia, Viongozi na Taifa "Amesema Senyamule

Hafla hiyo ya iftari imehudhuriwa na Naibu Waziri na Mbunge wa Dodoma mjini Mhe. Anthony Mavunde, Wabunge wa Viti maalumu, Wakuu wa Wilaya,Viongozi wa Chama na Serikali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.