• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERA YA TAIFA YA UCHUKUZI YA MWAKA 2003 YAFANYIWA MAPITIO

Imetumwa : November 15th, 2024

Na; Happiness E. Chindiye

    Habari - Dodoma RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya leo Novemba 15, 2024 amefungua kikao kazi kwa ajili ya majadiliano na mapitio ya sera ya Taifa ya uchukuzi ya mwaka 2003.

Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa (Jengo la Mkapa) kimelenga kukusanya  maoni kwa ajili ya maandalizi ya maboresho ya sera ,ili kuchochea kukua kwa huduma za uchukuzi na pato la mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

Akizungumza na wawakilishi wa makundi mbalimbali walioshiriki  Bw. Mmuya amesema,

“ Nawatia nguvu,mlioalikwa mna thamani kubwa,toeni maoni yenu kwa kuzingatia sekta zenu  kwa namna sera hii itaongeza ufanisi kwa muda wa sasa na baadae “.

Naye Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Wizara ya Uchukuzi Dkt. Johnson S. Laizer amesema majadiliano hayo yamehusisha wananchi kutoka mikoa ya Iringa ,Singida na Dodoma huku mapitio hayo yakihusisha maeneo muhimu ambayo ni  hali ya sasa ya miundombinu na huduma za usafiri, sera na mazingira ya kisheria,usalama na ulinzi ,uwezo wa kumudu gharama ,uaminifu na ubora, athari za mazingira na uendelevu , Jinsia na Makundi maalum pamoja na Masuala ya kipaumbele kwa sera ya Taifa ya usafiri.


 &&&


#kurayakosautiyako  

#ujanjanikupigakura                #dodomatukotayarikupigakura

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.