• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SKIMU YA UMWAGILIAJI KUKAMILIKA 2024

Imetumwa : May 18th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea mradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo serikali imetoa fedha ili iweze kutekelezwa ambayo hadi sasa ujenzi umeshaanza ikiwemo mradi wa Shule ya Msingi Bahi-Misheni chini ya fedha za boost.

“Lengo kubwa la Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kutoka Kwenye kilimo cha kubahatisha na kilimo pekee ambacho siyo cha kubahatisha ni cha umwagiliaji, tukitunza vizuri haya mabwawa tutakuwa na uhakika wa kulima kwa awamu mbili na ndio lengo la Serikali kuifanya Tanzania kuwa na uwezo wa kulisha nchi zingine, kwahiyo tunatakiwa kutumia vizuri mabwawa ili kuwa na kilimo cha uhakika “amefafanua Senyamule

Kwa Upande wake Mhandisi. Raphael Laiser Meneja wa Mradi kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ameahidi kukamilisha mradi huo ulioanza 27/04/2023 kwa wakati na unagharimu kiasi cha shillingi Bilioni 5.6 hivyo ujenzi utazingatia thamani ya fedha na unatarajiwa kukamilka tarehe 26/10/2024

Katika hatua nyingine Mheshimiwa Senyamule ametoa wito kwa wazazi kuhumiza watoto kwenda shule kwa kuwa watoto chini ya miaka 18 bado wako chini ya uangalizi wa wazazi na kusisitiza kuwa suala la elimu ni muhimu ili kuendana na nyakati ya sasa za sayansi na Teknolojia.

“Tunayo mambo ya kimkakati katika Mkoa wa Dodoma ikiwa ni pamoja na lengo la kudhibiti utoro mashuleni tusingetamani kuwa nyuma katika sekta ya elimu, mtoto akitoroka tunahusika na mzazi, nitoe shime kwa wazazi hakikisheni watoto wanaenda shule kwani watoto wa toro tutagombana nao.“amesisitiza Senyamule

Aidha, Mkuu wa Mkoa amewaasa wafugaji kuendana na nyakati za sasa kwani safari ya Maendeleo inahitaji kujitoa ili kuweza kupata mabadiliko chanya hivyo wanapaswa kutotumika na mifugo yao bali wao kuitumia mifugo ili kuweza kwenda kwa pamoja katika kuimarisha Maendeleo bila Kuacha mtu nyuma.

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Godwin Gondwe ameahidi kutekeleza maelekezo aliyowapitia na kuyafanyia utekelezaji ikewemo kusimamia mradi yote kukamilika kwa wakati kwa kuzingatia ubora na kutokuvuka fedha za Serikali za mradi.

Ziara ya Mheshimiwa Senyamule leo Mei 18 ,2023 ametembelea Shule ya Msingi Bahi Misheni, Ukaguzi wa bwawa la Kongogo na ameongea na wananchi wa Kijiji cha Kongogo kata ya Babayu na kusikiliza kero za wananchi hao na ametembelea Kituo cha Afya katika Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.