• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TIMU YA BENKI YA DUNIA YATEMBELEA MIRADI YA AFYA,MAJI NA ELIMU DODOMA

Imetumwa : February 27th, 2025


Na Sofia Remmi.

Habari-Dodoma Rs


Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar K.Mmuya ametembelewa na ugeni kutoka Benki ya Dunia ambao umefika ofisini kwake  Februari 27, 2025,kwa Lengo la Kumsalimia na kutoa taarifa fupi juu ya ziara ya Kukagua miradi ya maji,afya na elimu inayotekelezwa Katika Halmashauri za Kongwa na Chamwino ili kujionea jinsi miradi hiyo  inavyotekelezwa.


Akizungumza katika kikao hicho, Katibu Tawala  Mmuya amesema ugeni huo ni wa muhimu sana kwani ni vyema kufuatilia ili kujionea namna fedha zinazoletwa  zinavyotumika  kunufaisha Wananchi.


“Dodoma ni sehemu ya utulivu hivyo kila mmoja wetu ajione kama yupo sehemu sahihi katika utendaji wake wa kazi,nawaahidi ushirikiano kwa kila hatua muda wote ambao mtakuwa Dodoma”amesema Mmuya



 Aidha,katika miradi iliyokaguliwa  kwa upande wa Halmshauri ya Kongwa  Msaidizi wa Program ya P4R Bi.Toyoko Kodama  amesema,


"Miradi hii itawanufaisha Wananchi wote kwa ujumla kwa kuwapatia huduma za maji,afya na elimu hivyo kama watumiaji, niwaombe kuitunza ili idumu" .


Ziara hiyo imepangwa kufanyika kwa siku mbili,leo ikiwa ni siku ya kwanza, miradi iliyotembelewa ni iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ambayo gharama yake ni shilingi bilioni 17.


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.