• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“ TUTAYAENZI NA KUYATANGAZA MEMA ANAYOYAFANYA MHE. RAIS “ RC SENYAMULE

Imetumwa : October 15th, 2025

Na Sofia Remmi

      Habari: DODOMA RS

Ikiwa ni muendelezo wa vikao mbalimbali vya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule kuzungumza na makundi mbalimbali ya kijamii kuhusu masuala mbalumbali, tarehe 15 Oktoba 2025, alifanya kikao na Viongozi wa Kundi la ‘Wanawake na Samia’ Mkoa wa Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano Jengo la Mkapa Jijini hapa.

Akizungumza katika Kikao hicho, Mhe. Senyamule amesema kundi hilo ni la muhimu ambalo limejipambanua kumsemea mema yote anayoyafanya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Mhe.Rais anafanya kazi kubwa sana ya kuleta maendeleo katika nchi yetu hivyo niwapongeze kwa hatua nzuri ya kumsemea Mama kazi anayoifanya katika Mkoa wetu na kuona wajibu ambao tunaendelea kuufanya katika Mkoa”

Kila mmoja wetu anawajibu wa kumsemea Mama kama mwanamke kinara ambaye amefanya kazi kubwa katika nchi yetu ya kuleta maendeleo mbalimbali na kujipambanua kwa vitendo ambavyo anavifanya”. Amesema Senyamule.

Mhe. Senyamule aliongeza kuwa, hakuna miradi mikubwa ambayo imewahi kutekelezwa kama Kipindi ambacho Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekua madarakani kwani ametoa fedha nyingi za miradi ambayo imeifanya Dodoma kuwa na hadhi ya Mji wa Makao Makuu ya nchi hivyo wanapaswa kuunga Mkono jitihada zake.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kundi hilo Mkoa wa Dodoma Bi. Fatuma Madidi amesema, “Kila Mwanamke hapa amejipanga kutoka kuhamasisha Wanawake na watu wengine kujitokeza kupiga kura ifikapo Oktoba 29 ambapo ni kama wiki mbili zimebaki ili Mkoa wetu uwe kinara kwa watu kujitokeza kupiga kura wingi”.


#DodomaFahariyaWatanzania

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigakura

#NimejiandikishaNitapigaKura

#UmejiandikishaKapigeKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • UJIO WA MKANDARASI MPYA WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KULETA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANANCHI

    October 13, 2025
  • “ TUTAYAENZI NA KUYATANGAZA MEMA ANAYOYAFANYA MHE. RAIS “ RC SENYAMULE

    October 15, 2025
  • HOSPITAL YA BENJAMIN MKAPA YAADHIMISHA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

    October 13, 2025
  • SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

    October 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.