• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UJIO WA MKANDARASI MPYA WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KULETA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANANCHI

Imetumwa : October 13th, 2025

Na;Happiness E. Chindiye 

Habari - Dodoma RS

Mkandarasi mpya wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wa Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP), Bwana Mkojera, mzawa wa Tanzania, amewasili Dodoma kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa jukumu la uhuisishaji wa maisha ya wananchi walioguswa na mradi huo, kupitia mpango wa ufugaji wa kuku katika maeneo ambayo bomba hilo linapita.

Mpango huo unalenga kuinua kipato cha wananchi na kuboresha maisha yao ya kiuchumi kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli endelevu zitakazoongeza thamani katika jamii. Aidha, utasaidia kujenga uhusiano mzuri kati ya wakandarasi na wananchi wanaoishi kandokando ya mradi huo mkubwa wa kimkakati unaounganisha Tanzania na Uganda.

Timu ya wakandarasi hao imefika leo Oktoba 13, 2025, katika ofisi za Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, kwa lengo la kujitambulisha rasmi, hususan kwa Halmashauri za Kondoa na Chemba, ili waanze kazi zao rasmi katika mkoa.

Akizungumza wakati wa kikao hicho, David Kilala, Mratibu wa Mradi wa Dodoma-Kondoa, alisema:

“Tunaishukuru timu ya EACOP na Bwana Mkojera kwa kuwekeza katika miradi ya kiuchumi inayolenga kuinua maisha ya wananchi. Ujio wao unaleta fursa za moja kwa moja kwa wananchi wanaoishi kandokando ya bomba.”

Kwa upande wa Wakirishi wa Kampuni ya Mkojera amesisitiza umuhimu wa mpango huo kwa jamii:

“Tunajitahidi kuhakikisha wananchi wananufaika moja kwa moja na uwepo wa mradi huu. Mpango wa ufugaji wa kuku ni hatua ya kwanza katika kuhuisha maisha yao na kuinua kipato cha kaya.”


#NimejiandikishaNitapigaKura

#UmejiandikishaKapigeKura

#KuraYakoHakiYakoJitokezeKupigaKura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • UJIO WA MKANDARASI MPYA WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KULETA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANANCHI

    October 13, 2025
  • “ TUTAYAENZI NA KUYATANGAZA MEMA ANAYOYAFANYA MHE. RAIS “ RC SENYAMULE

    October 15, 2025
  • HOSPITAL YA BENJAMIN MKAPA YAADHIMISHA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

    October 13, 2025
  • SERIKALI INA DHAMIRA YA KILA MWANAMKE KUJIKOMBOA KIUCHUMI

    October 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.